Diamond na Harmonize wanatuzuga hawajatengana, show zao zina utata

Kwasasa mimi sioni muziki unaoendelea.ila naona michezo ya kitoto tu ndio imetamalaki.

Watu hawapo serious na ubunifu ila wamebakia kuwa waigizaji wa drama zisizo na mbele wala nyuma...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
pengine, lakini hayajaanza leov maneno km hayo.....mpaka leo yupo na tunamzungumzia hapa saa hizi!
Tunamzungumzia kwa sababu bado anahesabika kama rival wa simba ila kiuhalisia WCB na CMG wameamua kumzika yani baba kaamua kushindana na mwanaye ili kumzika jirani
 
juzi kati kafanya show, isiyo na udhamini...yenye kiingilio juu na siyo nyumbani na bila makelele meeengi kutoka kwa wasindikizaji humu jukwaani na kwingineko (infact, jukwaa hili lilikuwa 'bize' kudororesha ziara yake kwa kila namna), lakini mapokezi aliyopata kivyake kama vile, naamini bado jamaa yupo sana.....labda aamue mwenyewe kutoka kwenye gemu! si lazima ufanane na fulani maana kila mtu na maajaliwa yake na watu wake, kubwa la kuangalia ni je, malengo ya kisanii (mapato ya kuendesha maisha) yanapatikana? EATV&RADIO wapo, STAR TV wapo na kubwa zaidi MUNGU yupo; CMG na WCB ni nani?!!!! 'Injinia' Aggrey Mwanri mwenyewe amemkaribisha kwa bashasha zote.
 
Ukibebwa bebeka!
Alikiba ana umri mkubwa anapaswa kuwa anaibua vipaji vipya au awe na music label kubwa sana hatuwezi kulinganisha wasanii wetu na wa marekani ila angalau ajaribu kufanya kitu.
.
Diamond ni icon ya Tanzania kisanaa baada ya late kanumba, mapokezi ya alikiba na show yake havifikii hata robo ya diamond hukohuko Tabora unabisha?
Diamond na management yake kwa ujumla wanafahamu miaka sita mbele diamond atakuwa sio number 1 tena ila atabaki kuwa msanii mkubwa sasa wafanye nini ili waendelee kudominate soko angalau umri wa kimuziki wa diamond uwe extended maana legend ni kuanzia 15 ni kushindana sisi kwa sisi maana mshindani halisi alikiba ni kiazi.
.
Wamemtoa harmo yani Kusaga ana akili kama mchwa
 
Back
Top Bottom