Diamond na mrembo lyyn watukanana mtandaoni kisa mapenzi

Write your reply...sasa hapo mbona chibu hana hasara??
hilo Malaya halioni hata aibu lilishagongwa afu limetemwa na bado anamuita mgegedaji mshamba??

mgegedwaji na mgegedaji nani mshamba??
Malaya anagegedwa na Malaya. Awe Ke awe Me wote Malaya.
 
Msanii nyota wa bongo fleva diamond platnumz ameajikuta akitukanana na mrembo lyyn Ni video vixen
Diamond amemtuhumu mrembo huyo kutaka kuwatenganisha na mpenzi wake tanasha, daimond amepost akimtuhumu mrembo huyo kumtumia picha za kumshawi. Hii imetokana na baada kuvuja picha ikionyesha mrembo lyyn akiwa kwenye kitanda ambacho pia amekuwa akilala mrembo tanasha kutokana Kenya.
Mrembo lyyn nae amemjibu diamond kwa kusema ataachia video Kama ushahidi ili diamond aache ushamba na kuwa mtu mavimavi.View attachment 1055367View attachment 1055368View attachment 1055369

Sent using Jamii Forums mobile app
Mond leo kawa mtu wa kukataa nyapu, Ila hata hivyo ashawala wengi including huyo malaya.

Lakini bado najiuliza hivi mtu kweli amaweza kuforward picha zake kweli,..... labda.

Ila kama ni uwongo kwa nn diamond(international figure) atafute kiki kupitia haka ka malaya. At the end conclusion ni kwamba huyu dem kweli katuma picha kwa mond, ila sema cku hz mond kabadilika, tanasha kamnyoosha.
 
Msanii nyota wa bongo fleva diamond platnumz ameajikuta akitukanana na mrembo lyyn Ni video vixen
Diamond amemtuhumu mrembo huyo kutaka kuwatenganisha na mpenzi wake tanasha, daimond amepost akimtuhumu mrembo huyo kumtumia picha za kumshawi. Hii imetokana na baada kuvuja picha ikionyesha mrembo lyyn akiwa kwenye kitanda ambacho pia amekuwa akilala mrembo tanasha kutokana Kenya.
Mrembo lyyn nae amemjibu diamond kwa kusema ataachia video Kama ushahidi ili diamond aache ushamba na kuwa mtu mavimavi.View attachment 1055367View attachment 1055368View attachment 1055369

Sent using Jamii Forums mobile app
Afu kumbe ni zamani sana, ukiangalia tarehe hapo juu ni desemba mwaka jana
 
Write your reply...sasa hapo mbona chibu hana hasara??
hilo Malaya halioni hata aibu lilishagongwa afu limetemwa na bado anamuita mgegedaji mshamba??

mgegedwaji na mgegedaji nani mshamba??

Ila huyu chibu nae kwa kuvua wadada chupi kaziidi
 
Back
Top Bottom