Diamond na Tunda mahaba niue

Mara hii mtoto wake sio zuu tena.

Kesho atakua mama yako wewe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yote yawezekana hayooo[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Team zari mtatukanaaaa weee!
Poleni tunda yuleeeer Rwanda

Nani anataka shombo la maziwa!
 
[emoji3] [emoji1] [emoji3] [emoji3] [emoji3] kamu anfolo damond IG mama nillan ujue!!
 
Madale guest house
 
Anazuga tu atamfollow tena. Umri wa kutulia kuenjoy orgasm ye bado anagombania dudu.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] yaani yule mama daah!hapana kwa kweli!

Yaani mambo anayoyafanya kaaaah!upuuuzi mtupu!
Diamond naamini anafanya kusudii!

Yumkini hamtaki!
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] yaani yule mama daah!hapana kwa kweli!

Yaani mambo anayoyafanya kaaaah!upuuuzi mtupu!
Diamond naamini anafanya kusudii!

Yumkini hamtaki!
Nasikia hasira kweli anavyomfanyia mmama wa watu.
 
Yote yawezekana hayooo[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Team zari mtatukanaaaa weee!
Poleni tunda yuleeeer Rwanda

Nani anataka shombo la maziwa!
Kweli hamna linaloshindikana zari kua bi mkubwa wako.

Ajabu ni kua team misa mmehamia kwa tunda[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mwanamke yoyote atakayekua opposite na zari ndio mnampenda. Aiseee
 
Ningekua Zari ningeachana na mitandao ya kijamii nimuaachie pizza delivery guy ajilie vitoto vyake atakavyo ila mimi sijui. Ila anavyoshindana nao na wenyewe wanamtia aibu
Pizza delivery guy ndio nan
 
Siuoni uzuri wake tako lina pembe NNE miguu tende rangi kama karatasi masikio kama popo

Dinazarde
 
Hapana , Zary anakili sana , Anashindwa kuondoka nisababu anaakili , amekua kiumri watoto wake bado wanahitaji kumuona Baba yao kila siku

Of course Zarieth anapenda Kua Maarufu na Maisha yakimaarufu ila amini nakuambia Zarieth akitaka kumwacha jamaaa anamwacha km kawaida ,,nisababu nihiii , Nim'mama sio binti ,vibinti ndo vinakuwaga ving'ang'anizi nisababu mabinti hawana pakushika matokeo yake nihayo.

Amini amini nakuambia ,ukitaka kujua Diamond anaweweseka kwa zary , Angalia mangapi ameyafanya kwa Zary ??? Angalia ile siku Zary alozushiwa zile picha akiwa kwa maji najamaa fulan ivi....Uliona Diamond alivyopagawa ??????.

Sasa subiri mobeto au tunda wafanye ujinga ,alafu uone km Diamond ataangaika ,hawezi !!.

ila IPO siku Zarieth atakua Fade up na Ataondoka. Huyu Diamond ,ujana tuuu ndo mwingi na Maisha ya usaniii ,Ila Zarieth at her age anaitaji Maisha ya kuheshimiwa ndo maana unaona anakua ivi alivyo nakulumbana.

Of course ,, MTU yoyote MTU mzm namwenye Akili na Maisha binafsi ,anapopatwa na Tatizo lazima huchanganyikiwa na kujaribu kutafuta Relief .

Zarieth ni best of the woman kuliko hao watoto ,, alafu hawa watoto nao wanatafuta umaarufu kupitia Zarieth amna lolote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…