Hapana , Zary anakili sana , Anashindwa kuondoka nisababu anaakili , amekua kiumri watoto wake bado wanahitaji kumuona Baba yao kila siku
Of course Zarieth anapenda Kua Maarufu na Maisha yakimaarufu ila amini nakuambia Zarieth akitaka kumwacha jamaaa anamwacha km kawaida ,,nisababu nihiii , Nim'mama sio binti ,vibinti ndo vinakuwaga ving'ang'anizi nisababu mabinti hawana pakushika matokeo yake nihayo.
Amini amini nakuambia ,ukitaka kujua Diamond anaweweseka kwa zary , Angalia mangapi ameyafanya kwa Zary ??? Angalia ile siku Zary alozushiwa zile picha akiwa kwa maji najamaa fulan ivi....Uliona Diamond alivyopagawa ??????.
Sasa subiri mobeto au tunda wafanye ujinga ,alafu uone km Diamond ataangaika ,hawezi !!.
ila IPO siku Zarieth atakua Fade up na Ataondoka. Huyu Diamond ,ujana tuuu ndo mwingi na Maisha ya usaniii ,Ila Zarieth at her age anaitaji Maisha ya kuheshimiwa ndo maana unaona anakua ivi alivyo nakulumbana.
Of course ,, MTU yoyote MTU mzm namwenye Akili na Maisha binafsi ,anapopatwa na Tatizo lazima huchanganyikiwa na kujaribu kutafuta Relief .
Zarieth ni best of the woman kuliko hao watoto ,, alafu hawa watoto nao wanatafuta umaarufu kupitia Zarieth amna lolote.