Diamond na Tunda mahaba niue

Umaarufu zari hapa bongo ndio wachache tulikua tunamjua. Yeye kudate na diamond ndio imeongeza umaarufu wake hapa bongo. Lakini sio kwamba yeye sio maarufu. Anytime mondi akimzingua yakamfika hapa anamuacha
Mcheza kwao utuzwa ,, ninan Uganda alikua asomjua Zarieth ??.

Njoo east afrika ,nani asomjua ?????.

Huyo Tunda tu sanaaaaaa mnamjua wabongo wenzake ,nahata huyo mobeto bila hiikick ya majuzi asingejulikana hata Hapa TZ kwa ujumla .

Unajua , tuache unafiki ZARIETH HUWEZI MLINGANISHA NA celebrities YOYOTE WAKIKE HAPA BONGO ..HAYUPO.

kidogoooooooooooooo huyu mwanaccm wangu kidoti
 
Ukijaribu kufuatilia comments hizi utajua jinsi gani tulivyo na akili fupi hasa wanawake, huyo Mondi na zari wanakaa wanaona watoke vp na wanakuja na ujinga basi watu wanashoboka kuponda mwanamke mwenzao anavyodhalilika, kumbe wenzao wanataka kubaki midomoni mwa watu either kwa mazuri au mabaya. Sometimes nawaza vile madem wa humu wanaomponda Zari walivyo na sura ngumu maana mwanamke akimchukia mwanamke mwenzie ujue kampita uzuri.
 


Weka picha!
 


Haya simba amesema hivyo.


And by the way huko kwa mzazi sijafika (may her soul rest in peace) tuko hapa hapa kwa zari the boss lady. Daily mnamuongezea watoto lol
[emoji1] [emoji1] [emoji3] we ulitaka asemeje?

[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji1]

Umeongea ndo maana nkasema
 
Utafananisha game ya wazee na vijana mpenz. Na nasikia domo ni balaa. Utakuta diamond anamfikisha kwenyewe ndo maana hataki kuachia ngazi pamoja na drama zote anazowekewa
[emoji1] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] we Dada mi napika bwanaaa!!!!
 
Zari kaolewa?!!
Maneno mengi povuu!nothing written!!
 
warembo wanaopenda mtonyo hawapindui kwa mtoto wa tandale

ila nangoje aje amkwapue OMOTOLA,, [emoji16] [emoji16] [emoji16]

mana ile sayari nyingine,,
 
Zari kaolewa?!!
Maneno mengi povuu!nothing written!!
Una mwanamme ??? Au umeolewa ??? .

Maana isiwe naanza bishana namtu Singo ambayw bado hana uhakika na maisha ya Mahusiano.

Nijibu hayo maswali kisha nitaendelea kukujibu .

Kwa taarifa yako , Mnaomponda Zarieth ,Mnajulikana mu waaina gani tena wazi tu wala haiitaji Akili yashuleni[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] pole sana !!.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…