Diamond na Uzuri wa Matangazo anayo Fanya

ESPRESSO COFFEE

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2014
Posts
6,170
Reaction score
7,665
Diamond amekuwa anafanya matangazo mbalimbali kwa njia ya kuimba!! Japo watu wanasema Hajui kuimba ila kuna matangazo mimi huwa nayapenda sana kwa jinsi alivyo imbaa.

Haya ndio matangazo bora kwangu

1.Tangazo la voda 4G-Alivyo imba pale nimepapenda kwa kweli

2.Tangazo la Coca cola-Onja msisimuko alivyo imba pia nimepapenda sanaa!

3.Tangazo la Vodacom la Ongea Deilee-Alivyo imba pia nimevutiwa sanaaa!

4.Tangazo la Tomato chill-Lile anaimba tupate pesaaa pesaaa tupate pesaaa pesaa aaah hapo mm napenda sanaa

5.Kuna kipindi sijui cha radio gani ile ni kipindi cha taarabu-Ila kuna Taarabu moja hivi kaimba mle aaaah nimeipenda sanaaa

Mimi ni hayo...wewe Je?
 
Huyu msanii ana kipaji cha kuimba na kipaji cha uigizagi. Kinldy refer wimbo wa Mbagalaaa. Aingie uingizaji kwa kuwa pia amekwisha kuwa maarufu atapata pesa saana.
 
Na team yake inavyosupport matangazo yanazid kupendeza. Mondi noumer sanaa
 
Kuna mtu humu alisema voda wamevunja nae mkataba, sijui nani? Tukumbushane na thread ya kumponda DAI aliifungua.
Usipate shaka, huyu hapa chini:
Huyu hapa chini na wenzake wakawa wanafanya shangwe: Kabla watu hawajamaliza kufanya shangwe, yanakuja haya:
 
Eti ajui nn? mleta uzi mtakufa na wivu acheni dogo apige hela kama rahisi imbeni na ninyi mpate utajir ka wachibu afu tuwajaj mnajua kuimba au laah! Uyu dogo kuna watu anawatesaaaa kila zama na mfalme wake niwakati wa chibu acheni atoboeee

Sio wengine walisha kuaga tangu enzi zilee leo hii mnaita wasanii wachanga mna pambanisha chibu wajana mpate kik, walikua wapi kutoboa enzi zao hayo matangazo machache mengi zaidi yanakuja chibudeeee mzee wa kutengeneza njia wengine watelezee[emoji23][emoji23]
 
Mbona alikiba na bela hawapewi waimbe.?..naskia wana vocal na wanajua kuliko diamond ... what does it take ili watu wakupe endorsement km hiz...? Coz wote ni wasanii tena mmoja naskia anadai, "ali ni kipenzi cha watu". Sasa kwa nn wasimpe huyu ambaye ni kipenzi cha watu.... ? Ni kipi wanachozidiana mbali na kuimba.???
 
Mashabiki wa Kiba hawana tofauti na mashabiki wangu wa Arsenal, kutwa wanajisifu kucheza mpira mzuri lkn trophy cabinet ipo tupu [emoji23]
 
Tatizo nyota ndugu.
 
Watu wamasoko hawangalii sauti, wanaangalia msanii mwenye fan base kubwa na hawaongozwi na hisia zao bali research za kutosha, mathematical analysis na presentation kibao ktk vikao vyao kuangalia msanii anaweza akatuingizia faida kupitia tangazo lao, baadaye ndio wanafanya selection ya msanii husika.
 
Vipi ile kampeni ya kumzuia Diamond asipate matangazo imefanikiwa? Maanake naona vodacom wanazidi kumuongezea matangazo tu, hata hapa jf kuna katangazo nakaona...eti lara 1 ile kampeni yako imefikia wapi?
 
Vipi ile kampeni ya kumzuia Diamond asipate matangazo imefanikiwa? Maanake naona vodacom wanazidi kumuongezea matangazo tu, hata hapa jf kuna katangazo nakaona...eti lara 1 ile kampeni yako imefikia wapi?
Kuna watu vigagulaz kuliko hata shetani mwenyewe wamesahau mpewa hapokonyeki hata uroge uchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…