ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,170
- 7,665
Diamond amekuwa anafanya matangazo mbalimbali kwa njia ya kuimba!! Japo watu wanasema Hajui kuimba ila kuna matangazo mimi huwa nayapenda sana kwa jinsi alivyo imbaa.
Haya ndio matangazo bora kwangu
1.Tangazo la voda 4G-Alivyo imba pale nimepapenda kwa kweli
2.Tangazo la Coca cola-Onja msisimuko alivyo imba pia nimepapenda sanaa!
3.Tangazo la Vodacom la Ongea Deilee-Alivyo imba pia nimevutiwa sanaaa!
4.Tangazo la Tomato chill-Lile anaimba tupate pesaaa pesaaa tupate pesaaa pesaa aaah hapo mm napenda sanaa
5.Kuna kipindi sijui cha radio gani ile ni kipindi cha taarabu-Ila kuna Taarabu moja hivi kaimba mle aaaah nimeipenda sanaaa
Mimi ni hayo...wewe Je?