Diamond na Vanessa wataperform Wembely, Arena Mjini London

Wawili hao wataperform Wembley Arena London 02/06/2018. Artists wengine ni Teckno, Wande Cole, KCEE, Kiss Daniel, Niniola, Seyi Shay, Skales, Kranium. Show iko sponsoured na Black Bet.
Tuwe proud kwa vijana wetu kupeperusha bendera.

Na kwa jinsi ninavyowajua walivyo ni lazima tu baada ya hiyo ' show ' wataenda ' Kubanduana ' sana hadi Kunakucha.
 
Wawili hao wataperform Wembley Arena London 02/06/2018. Artists wengine ni Teckno, Wande Cole, KCEE, Kiss Daniel, Niniola, Seyi Shay, Skales, Kranium. Show iko sponsoured na Black Bet.
Tuwe proud kwa vijana wetu kupeperusha bendera.
Show ya waafrica kama hawapo 'Class A' Wizkid or Davido nakuwa na walakini nayo
 
Thumbs up to both of them.

Wawili hao wataperform Wembley Arena London 02/06/2018. Artists wengine ni Teckno, Wande Cole, KCEE, Kiss Daniel, Niniola, Seyi Shay, Skales, Kranium. Show iko sponsoured na Black Bet.
Tuwe proud kwa vijana wetu kupeperusha bendera.
 
Wawili hao wataperform Wembley Arena London 02/06/2018. Artists wengine ni Teckno, Wande Cole, KCEE, Kiss Daniel, Niniola, Seyi Shay, Skales, Kranium. Show iko sponsoured na Black Bet.
Tuwe proud kwa vijana wetu kupeperusha bendera.
Passport ya jamaa si imeshikiliwa na vijana wa Mambosasa ataendaje uko
 
Baada ya shoo watapiga shoo nyingine,wakiwa na suti za kulalia,au sare waliokuja nazo wakati wa kuzaliwa,
hata kama ni mimi ndio mond huyo shori hatatoka salama.
 
Kila mtu anakwenda kivyake hawakai hoteli moja na pesa za makubaliano pia kila mtu amelipwa kwa kiwango chake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…