Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndoa ni tamu zaidi na kila kitu kina wakati wakeBwana harusi hajapata chance?
Sio Wande Cole ni WANDE COOL.Sio naniola ni
NINIOLA
Hao kina mond si ndiyo wapiga kampeni wakati wa uchaguzi..Ukijiuliza ugomvi wa mondi na hii awamu hata haieleweki, awamu hii imekuja ku freeze kila sector kuanzia kkoo, bandarini, usafirishaji nk
Nimeona mbali ....Na kwa jinsi ninavyowajua walivyo ni lazima tu baada ya hiyo ' show ' wataenda ' Kubanduana ' sana hadi Kunakucha.
Wawili hao wataperform Wembley Arena London 02/06/2018. Artists wengine ni Teckno, Wande Cole, KCEE, Kiss Daniel, Niniola, Seyi Shay, Skales, Kranium. Show iko sponsoured na Black Bet.
Tuwe proud kwa vijana wetu kupeperusha bendera.
Hahaha kweli mkuu mi nshawahi kuifata rwanda toto la kitusi aiseeKila mtu ana namba ya simu ya mwenzie usisahau hilo
papuchi hazinaga umbali it is always a mater of calling...
and the dance will be on...
kumbe huyu ni dame, ndio maana ana chongaWe mwanamke kila mtu unamjua?
Mpk warudi bongo kitumbua cha Vanessa kitakuwa kishaliwaWawili hao wataperform Wembley Arena London 02/06/2018. Artists wengine ni Teckno, Wande Cole, KCEE, Kiss Daniel, Niniola, Seyi Shay, Skales, Kranium. Show iko sponsoured na Black Bet.
Tuwe proud kwa vijana wetu kupeperusha bendera.
baba harusi ana hasira katapeliwa kapewa bibi wa miaka 45 eti ni 23Ndoa ni tamu zaidi na kila kitu kina wakati wake
Atakuwa bado honey moon!Bwana harusi hajapata chance?
Mwakinembe[emoji23] [emoji23] [emoji23]Too sad to see BASATA and Mwakinembe try to discourage bongo flavour.