crankshaft
JF-Expert Member
- Jun 12, 2019
- 1,427
- 3,438
Kupitia ukurasa wake wa instagram diamond kawakashifu Forbes kutokana na list zinazosambaa mitandaoni zikionesha wasanii tajiri Afrika.
Unawaponda forbes wakati hakuna mahali popote forbes wametoa list ya wasanii tajiri Afrika zaidi ya page zisizo rasmi!!!
Naona pia wasafi tv na radio wanali amplify hilo suala kwa social media zao. Hii inaonyesha kwamba diamond na hata wasafi media na wabongo wengi ni watupu kuhusu suala la fake news ndio maana kuna baadhi ya wadau hapa jf nao wameanzisha thread kwa kutumia hizo source.
Hii ni kama ile TBC kutangaza kwamba Trump alimsifu JPM.
Lazima utambue position yako,kuposti taarifa isiyo na uhakika katika page yenye wafuasi millioni 12 sio jambo dogo kwani unaweza kuwaharibia popularity hao Forbes.
Ni muhimu pia kwetu sisi wadau tuwe tunajihakikishia kwa kutumia source ambazo ni verified kuliko kuokota habari kila page.