TIMING
JF-Expert Member
- Apr 12, 2008
- 28,186
- 15,549
Kanye Ni mental caseNa Kanye West na yeye alikuwa anaficha pesa kwa ndugu?! Au na yeye utajiri wake ulitokana na hearsay, video clips na picha za pesa ndo maana in late 2019 Kanye hakuwepo kwenye billionaires list lakini wakaja kumweka 6 months later!!!
Na ingawaje unasema " Forbes don't document based on hearsay, video clips au picha za pesa" hebu rejea tukio la Kylie Jenner!
Back 2019, Forbes hao hao ndio walitutangazia kwamba Kylie Jenner ndie youngest billionaire, baadae wakaja kugundua kumbe walipigwa changa la macho... she's not that billionaire as The Kardashians made them (Forbes) to believe!
Similar issue ilitokea kwa Donald Trump... huyu ikagundulika kwa miaka nenda rudi amekuwa akiwa-trick Forbes ili atokee kwenye billionaires list!
Hiyo maana yake nini?! In short, hata hao Forbes wanasukumwa sana na "on hearsay, video clips au picha za pesa" vinginevyo hayo yasingekuwa yanatokea!!!
Halafu mbona hao Forbes kutolewa povu ni jambo la kawaida sana?! Diamond sio wa kwanza wala hatakuwa wa mwisho! Hata pale Forbes walipokuja kubadilika na kusema Kylie isn't a billionaire kama ambavyo waliaminishwa, Kylie akawatolea povu!
He complains on everything