Diamond na Wasafi Media mmeonesha "lack of professionalism" kwenye hili la Forbes

Kanye Ni mental case

He complains on everything
 
TBC walamba nyayo wa mwendazake, sasa vile vipindi vya kumsifia sijui vimeishia wapi.
 
Kanye Ni mental case

He complains on everything
Well say...sijui kwanini watu watoa mfano wa Kanye wakati jamaa ni mwezi mchanga sometime...hata jana nili comment sehemu hapa Kanye huyu huyu alikuwa chawa wa Trump ili apate kupewa hela akafanye investment...na kweli baade alimuomba trump 50mil USD ili afanyie biashara ni miaka kama miwili tu tangu hayo yapite leo hii yeye anawalalamikia Forbes..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…