Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Wema got a taste of her own medicine. Siku zote mnaambiwa stay in your lanes hamsikii. Maybe now she's learnt her lesson. Kijitonyama na Tandale wapi na wapi? Aisee!
kwani wema kwa diamond anafuata nini? Nanyie wanawake bana, Kichefu chefu. Yaani mtu hata awe mbaya Kama Mimi, eti kisa nina hela Basi Utasikia, MZIMU handsome, MZIMU nakupenda. STOP THAT STUPIDITY. AMAKWELI NIMEAMINI, NEVER TRUST THE JUDGEMENT OF A WOMAN. SO STUPID.
Kijitonyama ni kwa maana sasa au?
Upo? Za siku?
Mie nipo. Za siku swalama tu. Umekuwa tunu siku hizi. Nani kakuficha we mwanamwali?
Stupid ni wewe unae draw general conclusion based on a single case, jinga!
Sometimes it is better to keep quite and LOOK idiot kuliko kufungua libakuli and CONFIRM you are oneLione, libaba lizima linakaa kurusha mawe jizanieti ukiskia nyokoo maana yake limempata, nyoko mwenyewe nyambaffffUnaona eee! ukisika nyoko, jua limempata.
Sometimes it is better to keep quite and LOOK idiot kuliko kufungua libakuli and CONFIRM you are oneLione, libaba lizima linakaa kurusha mawe jizanieti ukiskia nyokoo maana yake limempata, nyoko mwenyewe nyambaffff
kwani wema kwa diamond anafuata nini? Nanyie wanawake bana, Kichefu chefu. Yaani mtu hata awe mbaya Kama Mimi, eti kisa nina hela Basi Utasikia, MZIMU handsome, MZIMU nakupenda. STOP THAT STUPIDITY. AMAKWELI NIMEAMINI, NEVER TRUST THE JUDGEMENT OF A WOMAN. SO STUPID.
Sometimes it is better to keep quite and LOOK idiot kuliko kufungua libakuli and CONFIRM you are oneLione, libaba lizima linakaa kurusha mawe jizanieti ukiskia nyokoo maana yake limempata, nyoko mwenyewe nyambaffff
Kaka wewe kuna kitu unatafuta, sio bure.Halafu Mwali, Umenifutia Rep. Power Zangu, Naona hapo kwenye Avatar yangu umeriset Rep. Power zangu. Naomba nirudishie. Kumbe wewe Mod. Sasa uwe mvumilivu. Vidonge vya dawa vingi ni vichungu, lakini kumeza lazima.
Or you are just Proving the Point.
Kaka wewe kuna kitu unatafuta, sio bure.
endelea hivo hivo utakipata. Wasalaam!
Wewe mara ya mwisho ulileta utundu hapa JamiiForumsduh ata mimi ningekipata hicho ningefurahi sana.
Wewe mara ya mwisho ulileta utundu hapa JamiiForums
Mrs Matumbo alikuja hapa mkaliiii, ikabidi upotee kwanza
Sasa kwa vile aamelegeza kamba kidogo unaanza tena?
Kaka wewe kuna kitu unatafuta, sio bure.
endelea hivo hivo utakipata. Wasalaam!
Stupid ni wewe unae draw general conclusion based on a single case, jinga!
Safi sana dada angu, unajua watu wengine akili zao ziko makalioni, hivi kweli ukimsimamisha mama angu Makaishe na huyo mtu wao aliyejichubua kama anatoka sayari nyingine unaweza kusema wote ni wanawake kweli? Nakataa Wema (huyu aliyekaa uchi jukwaani) na wenzake kuwa reference ya wanawake wa popote pale, labda danguroni.
Maanina, my Rich woman kuja huku tufurahie pesa za mafuta za baba mkwe wangu...