Diamond na Wema, Full drama!

Diamond na Wema, Full drama!

Tatizo huyo diamond mshamba ingekuwa watu wote wanafanya hivyo ...basi mitandao yote ingejaa viclip

ndio maana sipendi kumuona wala kusikiliza muziki wake ..etu sukari ya warembo :tape2:

mnasemaga hivyo hivyo lakini akiwaomba mnatoa kiulainiii!
 
mwanaume atabaki kuwa mwanaume, Diamond tumia fimbo yako vyema charaza hao virukanjia! Chezea mwanaume weye!
 
Amna wewe hao tumeshawazoea kuwaona kwenye magazeti sasa ikitoke siku mbli,tatu hawajaonekana lazima wacheze mchezo ili mradi waandikwa kwnye magazeti yao ya udaku pamoja nawatu wae wanawazungumzia ndo maana wanafanya hvyo
 
Anamtaka wema ndo maana anamfanyia vitendo vya kumumiza nasibu hana chchte na huyo sijui pen anaitwa ni bolizozo tu
 
mie kifua chake tu wallah! Zile packs ni noumerrrrrrrrrr!! Lets call a spade a spade!

acha bhana minilifikiri kifua cha JB na packs zake zitakuchanganya.kumbe ni za huyu kikaragosi.
 
kwani wema kwa diamond anafuata nini? Nanyie wanawake bana, Kichefu chefu. Yaani mtu hata awe mbaya Kama Mimi, eti kisa nina hela Basi Utasikia, MZIMU handsome, MZIMU nakupenda. STOP THAT STUPIDITY. AMAKWELI NIMEAMINI, NEVER TRUST THE JUDGEMENT OF A WOMAN. SO STUPID.
 
Wewe kama fan wao unadhani baada ya Diamond kumrekodi Wema alipompigia simu na kusambaza kwenye social network unadhani ni suluhisho sahihi kwa Wema? audio clip hiyo imesikika Wema akimbembeleza Diamond warudiane.

cheap pupulality na ushamba tu aisee....
 
Wema got a taste of her own medicine. Siku zote mnaambiwa stay in your lanes hamsikii. Maybe now she's learnt her lesson. Kijitonyama na Tandale wapi na wapi? Aisee!
 
Back
Top Bottom