cacico
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 8,362
- 7,800
kwi kwi kwi, jichekee mwaya! mzima ww lakini??Ha ha haaaaaa
Bidada umenivunja mbavuu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwi kwi kwi, jichekee mwaya! mzima ww lakini??Ha ha haaaaaa
Bidada umenivunja mbavuu.
kwi kwi kwi, jichekee mwaya! mzima ww lakini??
ndio maana sipendi kumuona wala kusikiliza muziki wake ..etu sukari ya warembo :tape2:
Tatizo huyo diamond mshamba ingekuwa watu wote wanafanya hivyo ...basi mitandao yote ingejaa viclip
ndio maana sipendi kumuona wala kusikiliza muziki wake ..etu sukari ya warembo :tape2:
mie kifua chake tu wallah! Zile packs ni noumerrrrrrrrrr!! Lets call a spade a spade!
mie kifua chake tu wallah! Zile packs ni noumerrrrrrrrrr!! Lets call a spade a spade!
Hee hii balaa sasa,hadi wewe leo unamponda?[/Q
Am heaven on earth ,,kazi ya kumpamba Diamond anayo yule karani wake Heaven on desert
Wewe kama fan wao unadhani baada ya Diamond kumrekodi Wema alipompigia simu na kusambaza kwenye social network unadhani ni suluhisho sahihi kwa Wema? audio clip hiyo imesikika Wema akimbembeleza Diamond warudiane.