Halafu Mwali, Umenifutia Rep. Power Zangu, Naona hapo kwenye Avatar yangu umeriset Rep. Power zangu. Naomba nirudishie. Kumbe wewe Mod. Sasa uwe mvumilivu. Vidonge vya dawa vingi ni vichungu, lakini kumeza lazima.
Or you are just Proving the Point.
Kaka wewe kuna kitu unatafuta, sio bure.
endelea hivo hivo utakipata. Wasalaam!
Unamsifia mwenzako Ujinga. Yale yale. Kubalini tatizo Mlilo nalo ili mjirekebishe. Mnashusha hadhi za wanawake. Kwanini hamuelewi. So disgusting. Mnatambezwa uchi, eti Miss. (Umaarufu wa masaa, then kazi inakua kumaitain ile status, hapo basi lazima ufungue kiduka cha Utu).
Kwanini hampambani na hilo kwanza. Big UP MZIMU. Tell them hata wachukie. TELL THEM THE TRUTH. SOMETHING IS WRONG WITH THEIR JUDGEMENTS. THEY ARE REAL SO IRRATIONAL SOMETIMES.
Nakukubali sana kwa michango. Ngoja niweke quote yako kama signature. Amon fire!
safi liambie hiloStupid ni wewe unae draw general conclusion based on a single case, jinga!
MGANGA WA KIENYEJI, ukiwa chooni jaribu kumaliza unacho kifanya kabla ya kuja kuchangia JF. #JustSaying
Blaza unaliwa kisoda, sio bure...
MGANGA WA KIENYEJI, ukiwa chooni jaribu kumaliza unacho kifanya kabla ya kuja kuchangia JF. #JustSaying
hauna lolote....akikutokea anakugonga tu.....u never know with women!!...mara nyingi wanaosema hivi ndio tunawagongaga kirahisiDiamond mshamba wa wanawake tuuu, cmpendi hata kidogo😱