roma mnazarety
Member
- Dec 5, 2013
- 94
- 15
Wema sepetu Miguu hana kabisa aisee !
Kanyimwa sura mpaka miguu !
Kupigana picha kama ivyo ktk ilo tukio na kulifurahia ndio ulimbukeni, but kumpa Kiss la nguvu unayempenda hata kama adharani si ulimbukeni, kwa watoto wa uswazi kwenye majungu wataongea saaanaaa, ila wanaojielewa ni kawaida!
Wema sepetu Miguu hana kabisa aisee !
Kanyimwa sura mpaka miguu !
kwani nani kasema kukisiana na umpendaye kosa what i mean wanapanga matukio ili kupata attention kukis hata sokwe wana kiss we ndo wa uswaz usiishi kwa ku kremisha mwenyewe una majungu ma attention seeker ni kazi
Mmmh!!did u read my comment?Nakushauri soma iyo line ya kwanza ya comment yangu hadi hapo kwenye neno ULIMBUKENI, utaielewa, vip mbona umewaka kama kuna mahali nimekusema sasa unataka ku fight back kwa maneno, read it again, and again Hautakuta mahali nilipo wa Support kupigwa picha ktk ilo tukio ila nimesema tukio ilo ni la kawaida tatizo kupigwa picha..
i read it and understand clearly you had point ila ulipo weka mambo ya majungu cjui kawaida ila kwa uswazi ndipo ilipo change content ya ulichomanisha after all am not here to fight rather than commenting what i believe and not other wise
Hii ni series bwana, tuko season ya tatu!! season 1 ni Wema na Domo, Season 2 ni Domo na Penny na Season 3 ni Wema na Domo baada ya kurudiana, so bado inaendelea
Hiyo picha ya kati ipo mwake....
unajisikiaga fresh nikikubambia hivyo eeh
Kwahiyo nilichoongea iko ni uongo ama hakipo??and if u are here to comment wht u blieve why don't u want other people to comment wht they blieve?coz I blieve so no wonder I a'v commented tht way.
Vyombo vya habari bongo havina kazi kabisa.
ulicho comment kinaweza kuwa hundred percent correct and any one has the right to comment what he or she believe and i didnt say that others cannot comment they can comment the way they want to
Why dd u attack me?was it difficult for u to comment and go, like wht others if it is true tht, I was nt 100% correct?Nini haswa kilisabibisha uanze Kutumia neno "Wewe ndio wauswahilini" bcoz u were suppose to gve ur view and go, and not to comment as if u are fighting back, ama we uoni kua umekosea hapo??
cjakua attack we unalivosema uswahili nikaona kama wamaanisha uswahilin ndo wapenda majungu bila kuwa na uhakika ndo nikaona hapo hapakuwa okay and i wasnt fighting back for that issue otherwise kiroho safi tu maybe it was misconception ndo iliyoleta mikanganyiko but everything is alright
Why dd u attack me?was it difficult for u to comment and go, like wht others if it is true tht, I was nt 100% correct?Nini haswa kilisabibisha uanze Kutumia neno "Wewe ndio wauswahilini" bcoz u were suppose to gve ur view and go, and not to comment as if u are fighting back, ama we uoni kua umekosea hapo??