Mwana Mwema
Senior Member
- Nov 15, 2012
- 143
- 133
Mimi bana wabongo nawashangaa sana, what is so special there? Mi kila siku nakula mate kwa baby wangu in public area lakini sijawah kupigwa hizo picha.. Njooni mnipig bana na sisi tunataka kung'aa.. Everyday Diamond, afu hakuna hata kitu cha ajabu.. We bwana mdogo uliyetupia hiyo thread hujavunja ungo bado??