Mkuu kuna thread umeiondoa picha, umefanya jambo jema sana aisee!!Big up sana
I was jst reflecting ur statement "Wewe ndio" Tell me, how does it sound???
Mkuu kuna thread umeiondoa picha, umefanya jambo jema sana aisee!!Big up sana
hivi mana yake ni ni nini kwamba msiwapigie simu usiku au msiwashitue kwamba wanafanya uchafu barabarani,hivi ilikuwa wet kiss au ile sijui ndo french sijui ndo nini kiss ile ya fasta maana watu wa udaku hata siwaamini
Mkuu itendee haki lugha ya watu !
Vingeleza vya kwenye massage unavileta hapa mbona?
Hivi anae elewa nini anafanya umewahi kumwona akiandika kama ulivyoandika hapa?
Afu sensence ya blue hiyo ilipaswa kuwa hivi !
''because you were supposed''
kwa upeo wangu mdogo wa lugha hiyo !
okay let leave it the way it's that was mistake take easy and it may sound bad
ike niliiweka picha ya misn someone???
Ok bidada, its okay!Peace and Love.
uzi ule niliweka picha ya misin someone?? jibu bwana mi nataka nilale
Ndo ushampenda tayar ivo faza
Ivyo vijishortcut, pole kama vimekukera Mkuu, hapo chini ni minor mistake "d" imesahaulika maana iyo ni Passive statement kama ulivyoirekebisha!!Mistakes huwa tunazifanya kama ulivyoifanya kwenye hilo neno nililolikuza
Ok bidada, its okay!Peace and Love.
Kama hana miguu kasimamia nin ?????
Hiyo picha ya kati ipo mwake....