Diamond Na Wema Sepetu Wafumwa Wakipeana Denda Hadharani Bila Hata Aibu

Niliye nae anafika anapotaka akiwa na mimi peke yangu !
Kwahiyo sina haja yakumpenda wema zaidi yakumtamani !

Na tena nisipomuangalia kwa makini !

Una uhakika gani anafika anapotaka+yuko na wewe peke yako?! Ulitakiwa useme Wewe ndo unafika unapotaka kwa uliye naye ukiwa na yeye peke yake, Usiisemee nafsi mkuu
 
Hii nayo habari?mkiambiwa ni magazeti ya udaku mnakuwa wakali
 
hahahahaha akina agosti 8 na Ntuzu wakinivuruga kule nakuja kucheka na akina evelyn salt huku stress inaisha.



Khe Khe Khe Khe

RRONDO !!!!! Sisi hatukuvurugi Mkuu! Timu yetu inafanya kweli Ndio maana twaongea sn!


Teh Teh Teh Teh Teh

Huku kwenye majukwaa ya udaku unapita sn? Mi ni sport na Dini na MMU. siasa kule unaweza pasuka kichwa ingawa hoja ni nyingi sn unaweza changia!


RRONDO Pamoja sn Mkuu!
 
Last edited by a moderator:
Walifanya makusudi ili kuwarusha roho global udaku maana wanawafuatilia sana. Kudos watoto.
 


Nambie Mkuu!

Nachofurahi ni kuona haya makelele au kuingea sn kumetufanya kua MARAFIKI na Ndio dhumuni la Michezo Mkuu!


Biashara za ligi zote zinakwenda ukingoni Tuko tunafanya tathimni huku nikisubiri Kombe la Dunia!


ATM Bahati ilikua Yao Mkuu na si Chelsea!
 
Una uhakika gani anafika anapotaka+yuko na wewe peke yako?! Ulitakiwa useme Wewe ndo unafika unapotaka kwa uliye naye ukiwa na yeye peke yake, Usiisemee nafsi mkuu


Kwani kuna uhakika wa Aina ngapi?
Nikutajie nilionao mimi !
 
Niijuavyo maana ya neno HADHARA, napata shida kama uwepo wa weye mpiga picha maeneo hayo inatosha kutengeneza hadhira.....
 
mmmmh usije ukaniua bure !
Mana ulivyo na hasira wewe ! Sipati picha aki kuudhi unakuaje !

huu unadhani nitafanyaje naongea tu hapa ila kwake mdogo kama piritoni weee umasai wote plus kiloriti heshima mbele

mwanaume ni mwanaume heshima mbele na huwezi kuwa juu yake maana ndivyo walivyo naturally created to be that way ukiitaka kuwa nao sawa wanakuangalia tu lakini kama ni ndoa utaiona chungu kwani anaweza asikupe talaka lakini hata siku moja usicheke katika maisha yako

infact wanawake wa kimasai wanaheshimu waume zao saana tu

ndo maana tunakusanya nyasi tunajenga,tunachunga na kukamua ngombe,tunalea watoto na kupika lakini HATUONGEI LOLOTE KWANI HATUJUAGI KAMA KUNAKUACHIKA
NA kampeni zenu za haki sawa hatutaki kwani hata bible imeshasema yote hayo
 
Kupigana picha kama ivyo ktk ilo tukio na kulifurahia ndio ulimbukeni, but kumpa Kiss la nguvu unayempenda hata kama adharani si ulimbukeni, kwa watoto wa uswazi kwenye majungu wataongea saaanaaa, ila wanaojielewa ni kawaida!

kwani nani kasema kukisiana na umpendaye kosa what i mean wanapanga matukio ili kupata attention kukis hata sokwe wana kiss we ndo wa uswaz usiishi kwa ku kremisha mwenyewe una majungu ma attention seeker ni kazi

Diamond ni msanii mkubwa sana nchini, anatakiwa akimbie attention, sasa hii ya yeye kutafuta attention sijui ndo dalili za kushuka?
 


Umenifurahisha sana hapo kwenye ku reject equal rights ! To all ! Ya nakubaliana na wewe !

Ila mi Wamasai kwaujumla nawaogopa sana ! Yani !

Whatever male or female !
Nawaogopa yaani si mchezo !
 
Umenifurahisha sana hapo kwenye ku reject equal rights ! To all ! Ya nakubaliana na wewe !

Ila mi Wamasai kwaujumla nawaogopa sana ! Yani !

Whatever male or female !
Nawaogopa yaani si mchezo !

unawaogopa kivipi??
economically
socially?
politically?
 
Socially !

socially how??
kuoa?
kuolewa
kuwa nao marafiki?
kuwatembele??
kuongea nao?
kukaa nao?
kulala nao
kuishi nao?
kuwasalimia?
kula nao?
kusafiri nao?
kusherehekea nao?....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…