Diamond Na Wema Sepetu Wafumwa Wakipeana Denda Hadharani Bila Hata Aibu

Mimi bana wabongo nawashangaa sana, what is so special there? Mi kila siku nakula mate kwa baby wangu in public area lakini sijawah kupigwa hizo picha.. Njooni mnipig bana na sisi tunataka kung'aa.. Everyday Diamond, afu hakuna hata kitu cha ajabu.. We bwana mdogo uliyetupia hiyo thread hujavunja ungo bado??
 
socially how??
kuoa?
kuolewa
kuwa nao marafiki?
kuwatembele??
kuongea nao?
kukaa nao?
kulala nao
kuishi nao?
kuwasalimia?
kula nao?
kusafiri nao?
kusherehekea nao?....


Kukaa nao !
Mana najua mtu yeyote unaeishi nae lazma umuuzi sasa !nikimuuzi mmasai si kasheshe hiyo !
!
 
Kukaa nao !
Mana najua mtu yeyote unaeishi nae lazma umuuzi sasa !nikimuuzi mmasai si kasheshe hiyo !
!

ushawauzi wamasai wangapi wakakufanyia kasheshe
na ilikuwa kwa mtindo gani??
 
Diamond ni msanii mkubwa sana nchini, anatakiwa akimbie attention, sasa hii ya yeye kutafuta attention sijui ndo dalili za kushuka?

umenena point mtu msanii mkubwa eti kupga pcha wanakisiana na huyo Wema wake hadharani hata kama ni wachumba kinawashusha hadhi zao na kufanya kazi zake zikubalike na rika flani na hyo kuchange mademu kuna mshushaga sana hadh yake yeye hajui tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…