Judi wa Kishua
JF-Expert Member
- Apr 15, 2012
- 1,159
- 1,274
wanaume hawajui kutafuta maisha ni kitu kingine na mapenzi kitu kingine.Diamond ile tabia yake ya kukuwadia kila siku mademu wapya na halimakimwana aaache kabisa.
Mshanichanganya sasa... Diamond kapita namastaa wangapi kwani, 1.Sepetu (Miss) 2.Kidoti (Miss) 3.Penny (Huyu ndio nani? Mweh ngoja nika-Google)
Jamani nimesikia Diamond na Wema wamerudiana,,Penny kapigwa chini..hii ni habari njema sana naipenda hii couple...ila ni habari mbaya kwa Kidoti.Sasa ile gari ya Penny aliyonunuliwa na Platnumz atairudisha ama ndio ataambulia angalau ako kagari .
There are many mistakes a man can make, falling in love with diamond is among the worst mistake penny ever made. Maana wanao muombea majanga atemwe ni wengi sana utadhani diamond aliumbiwa awe na wema tu.
Namuonea huruma sana huyu penny, na nawaonea huruma madada wote wanaojiweka kwa diamond wakahama kwao maana kwa sasa diamond bado moto moto msubiri apoe.

Tabu ya wanafacebook kuanza kuingia humu wanalea habari ki facebook facebook.hii niu forum ya great thinker and ur not among of them hebu tuondolee ushudu wako
nasikia halima kimwana ndio anaamua amuweke nani kwa Diamond...
sio bure una stress za maisha wewe,,tafuta mchumba uholewe maisha ndio haya haya mdogo wangu.
Jamani nimesikia Diamond na Wema wamerudiana,,Penny kapigwa chini..hii ni habari njema sana naipenda hii couple...ila ni habari mbaya kwa Kidoti.Sasa ile gari ya Penny aliyonunuliwa na Platnumz atairudisha ama ndio ataambulia angalau ako kagari .
Mnajaza server ya jf tu na pumba pumba tu nendeni mtandao wa global publishers ndio unawafaa
For Penny being with Naseeb is a first class mistake because I dont think if Naseeb really loves Penny and from my point of view Penny has more expectations from this relationship and as you know expectation is the source of many heart breakswhat are u tryn to tell? being with Naseeb is a first class mistake
Tutolee umbea hapa...mbona baba na mama yako walivyorudiana haukupost hapa JF
Ila inasemekana si kweli wadau..ila penny simpendiii hajuI kuvaa...ht akivaa hapendezi khaaaaa