jaqfantasy212
JF-Expert Member
- Dec 17, 2012
- 542
- 257
Hahaahaaaahaaa!! Heaven on desert Umejua kunichekesha, maana umeshindwa hata uanzie wap kumtetea boss wako..Kweli Tanzania kuna viwanda vya uongo,nimeshindwa hata kushangaa uongo kama huu watu wanatunga tungaje
Hahaahaaaahaaa!! Heaven on desert Umejua kunichekesha, maana umeshindwa hata uanzie wap kumtetea boss wako..
yeah nimempata mama yako...ila nimempiga chini kinuka mkojo yule
Kweli Tanzania kuna viwanda vya uongo,nimeshindwa hata kushangaa uongo kama huu watu wanatunga tungaje
Ukivocoment,like uko rohon kwa Naseeb,wajua kinachoendelea...
Naogopa kusutwa 😉 😉[/QUOTE
TIMUA BASI. Unangoja nini?
Diamond mwenyewe kakauka ka msonobari, no emotion no what, na hayo maua yenyewe mawili kitanda chote kha!$!!
kwani we waonaje!!!!!!!!!
Diamond mwenyewe kakauka ka msonobari, no emotion no what, na hayo maua yenyewe mawili kitanda chote kha!$!!
Thise pics nilipiga me mwenyewena siyo kwel usemayo but unahis tu,hapo Diamond alikuwa ameungua kidole kwa maji ya mshumaa so Penny alikuwa anampoza,bahat mbaya umetizama hiyo pic moja tu.
niko karibu na hawa watu.najuwa wanaishije,hata kama diamond atakuwa anakulana kwa siri na wema ni kwa tamaa tu kama wanaume wengine walivyo na tamaa
still penny ndiye chaguo la kwanza,peny ahe is real,ni mwanamke wa kweli kabisa ni aina ya mwanmke kila mwanamme anaetaka ndoa bora lazima atakuwa chaguo lake ,wema ni mchafu wa tabia to the maximum,diamond hawez mwacha penny for wema.
Cjui kama umenielewa dada heaven
we ndo msemaji wa diamond....
Hasa katika issue sensitive kama hizi za mapenzi.......
Vyovyote ila ujumbe umefika
Diamond mwenyewe kakauka ka msonobari, no emotion no what, na hayo maua yenyewe mawili kitanda chote kha!$!!