Diamond na Wema "WARUDIANA" ....

Diamond na Wema "WARUDIANA" ....

Keep dreaming ndoto za jion.
Diamond na Wema wanatumiana kibiashara na wanajua kweli kucheza na akiri zenu wenye akili za udhabiki.
STAY WAITN KWA MOVIE YA KIHISTORIA FROM WEMA N DIAMOND
hata mimi naona hivo .wanatumia fursa vizuri.bora pesa iingie
 
Usitupotoshe bana watu tuko smart ghorofani.sio lazima utetee kila kitu vingine chunia tu unajiaibisha.. Eti anampooza... Mxieeeeew...!! Fanya yakoo mengine.. Lakini usitudanganye

Wabongo bana,yani mtu uliyesimuliwa tu unataka umbishie aliyekuwa eneo la tukio!!!!!naelewa how the stuation ilikuwa unatuletea mipovu yako hapa.
unajiaibisha mwenyewe
 
Wewe jamaa heaven on desert acha mambo ya kijing.a wewe, kupiga picha na kupost kwenye blog yake isiwe ndio unatetea kila ujinga, kuna watu wazima na akili zao....Endelea kupotosha tu nitakutaja coz nakufahamu vizuri.....
 
Y msiwe mnafanya kautafit hata kadogo kabla ya kuropoka?eti Diamond kamwacha Penny karudia Wema..yani tunaojuwa whats goin on tunawachora tu.
msichachawe na pics hizo.
Diamond n Wema wameply movie moja kama wahusika na hizo ni mbwembwe za kutengeneza tenshen za hiyo Movie.
Siku nyingine usijudge kabla ya kutafit.
Ukiona kazi sana niulizen hata mie anythn concerning Naseeb,Wasafi etc....

Acha mambo yako dogo, acha kujipaisha wakati na wewe hujui kitu, hiyo picha wapo wamevaa taulo wapo bafuni ndio unasema wanawapa watu attention??acha kuwapumbaza watu, na baada ya picha kuvuja ndio mnasema ni movie??mbona hukuja hapa mapema na kusema kwamba kuna movie inataka kutoka kama ulivyosema kwenye wimbo wake wa my number one... dogo kitulize na acha ujinga!!
 
Usitupotoshe bana watu tuko smart ghorofani.sio lazima utetee kila kitu vingine chunia tu unajiaibisha.. Eti anampooza... Mxieeeeew...!! Fanya yakoo mengine.. Lakini usitudanganye

Dogo anajaribu kujionyesha anajuwa kila kitu naona, wakati hana kazi ya maana...
 
Y msiwe mnafanya kautafit hata kadogo kabla ya kuropoka?eti Diamond kamwacha Penny karudia Wema..yani tunaojuwa whats goin on tunawachora tu.
msichachawe na pics hizo.
Diamond n Wema wameply movie moja kama wahusika na hizo ni mbwembwe za kutengeneza tenshen za hiyo Movie.
Siku nyingine usijudge kabla ya kutafit.
Ukiona kazi sana niulizen hata mie anythn concerning Naseeb,Wasafi etc....

duh......nimefatilia comment zako mshikaji kama wewe ndio msemaji wake basi hatari kwanza ngoja nikwambia tu ukweli kuandika hujui yani napata tabu kuamini msemaji anakuwa hivyo....halafu mkuu kwenye relationshp sio mpaka wewe ujue kila kitu vingine siri yake mwenyewe...cha mwisho mkuu sisi vijana hebu tafuta kazi ya maana ya kutengeneza pesa sio unakuwa mtumwa wa kila jambo mimi naamini ungekuwa professional wa kitu fulani kazi hiyo wala usingefanya.wasemaji wa wasanii wakubwa wa ulaya ni watu ambao wanajua wanachokifanya nini....acheni kuiga basi
 
Kuna picha cjaziona humu..diamond na wema wakiwa nchini china vipi hamzipata...
Cc;@amu
 
uu uzi ulianzia wapi? Udaku at its highest peak.. Duh!!
 
Keep dreaming ndoto za jion.
Diamond na Wema wanatumiana kibiashara na wanajua kweli kucheza na akiri zenu wenye akili za udhabiki.
STAY WAITN KWA MOVIE YA KIHISTORIA FROM WEMA N DIAMOND

Hata wakati ameanza na Penny tuliambiwa kuna movie hadi leo hatujaiona,hata kama wewe ni msemaji wake haya mambo ni ngumu wewe kuyafahamu
 
Kuna picha cjaziona humu..diamond na wema wakiwa nchini china vipi hamzipata...
Cc amu

hizi hapa
diam.jpg

DIAMOND-WEMA.jpg

nasikia Penny kazimia baada ya kuona hizi picha yuko hospitali sasa

cc amu
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom