Down To Earth
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 21,940
- 16,643
Besidei ya Diamond.....nimeziona kule mtaa wa saba........Ngoja nizicopy hapa
Nimemuona huyo Halima lol...Bonge la Jimama...kweli mjini pesa inatafutwa.............
Hiko kipindi alichoendaga katika Show nilisikia lakin nilikuwa simjui huyo Halima
mamii hebu tuwekee hiyo picha ya mke mwenza!!
sijui nani vile,, naniii... eeenh,, halima!
hivi ni halima mde.e au?
huyu hapa
mmhhh!! diamond kweli noma!!
naona anjaribu ku-'test' ladha za machungwa mbalimbali sokoni kariakoo!!
hahaa habai ndo hiyo....Sukai ya warembo hiyo
itakuwa vipi na weye akikulisti?
hahaa Niko kwenye Committed relationship......
hiyo Sukari ya warembo ngoja aendelee kuwaonjesha hao hao kina Fundenge
hahaa!! wacha kunizuga wewe!!
au wewe ndo halima nn?
halima bonge la mmama mie kimwili changu kidogo dogo
sikuzugi wala nini huo ndio ukweli...
basi ngoja nijipange kuja kuona hicho chako!!
unajua vidogodogo havihemi sana kunako!
Jamani nimesikia Diamond na Wema wamerudiana,,Penny kapigwa chini..hii ni habari njema sana naipenda hii couple...ila ni habari mbaya kwa Kidoti.Sasa ile gari ya Penny aliyonunuliwa na Platnumz atairudisha ama ndio ataambulia angalau ako kagari .
Nimefurahi kusikia hivyo huyo penny mmh ila sepetu banaa.hongeren kama imekuwa hivyo ntarudi kuwa shabiki wa Diamond tena.Sio siri,couple yenu naipenda sana ila sasa mtulie
Y msiwe mnafanya kautafit hata kadogo kabla ya kuropoka?eti Diamond kamwacha Penny karudia Wema..yani tunaojuwa whats goin on tunawachora tu.
msichachawe na pics hizo.
Diamond n Wema wameply movie moja kama wahusika na hizo ni mbwembwe za kutengeneza tenshen za hiyo Movie.
Siku nyingine usijudge kabla ya kutafit.
Ukiona kazi sana niulizen hata mie anythn concerning Naseeb,Wasafi etc....
Thise pics nilipiga me mwenyewena siyo kwel usemayo but unahis tu,hapo Diamond alikuwa ameungua kidole kwa maji ya mshumaa so Penny alikuwa anampoza,bahat mbaya umetizama hiyo pic moja tu.
kuna kitu nilitaka kukuambia ila sitaki kukuudhi kusema kweli.Y msiwe mnafanya kautafit hata kadogo kabla ya kuropoka?eti Diamond kamwacha Penny karudia Wema..yani tunaojuwa whats goin on tunawachora tu.
msichachawe na pics hizo.
Diamond n Wema wameply movie moja kama wahusika na hizo ni mbwembwe za kutengeneza tenshen za hiyo Movie.
Siku nyingine usijudge kabla ya kutafit.
Ukiona kazi sana niulizen hata mie anythn concerning Naseeb,Wasafi etc....