Mgunduziforeva me mwanamke ht ukiniita shoga t doesn't hurt Hahahaha pole weeee
hata mimi naona hivo .wanatumia fursa vizuri.bora pesa iingieKeep dreaming ndoto za jion.
Diamond na Wema wanatumiana kibiashara na wanajua kweli kucheza na akiri zenu wenye akili za udhabiki.
STAY WAITN KWA MOVIE YA KIHISTORIA FROM WEMA N DIAMOND
heaven on desert naomba unitumie picha ya gari la penny basi jamani
Usitupotoshe bana watu tuko smart ghorofani.sio lazima utetee kila kitu vingine chunia tu unajiaibisha.. Eti anampooza... Mxieeeeew...!! Fanya yakoo mengine.. Lakini usitudanganye
Y msiwe mnafanya kautafit hata kadogo kabla ya kuropoka?eti Diamond kamwacha Penny karudia Wema..yani tunaojuwa whats goin on tunawachora tu.
msichachawe na pics hizo.
Diamond n Wema wameply movie moja kama wahusika na hizo ni mbwembwe za kutengeneza tenshen za hiyo Movie.
Siku nyingine usijudge kabla ya kutafit.
Ukiona kazi sana niulizen hata mie anythn concerning Naseeb,Wasafi etc....

mmhhh!! diamond kweli noma!!
naona anjaribu ku-'test' ladha za machungwa mbalimbali sokoni kariakoo!!
Keep dreaming ndoto za jion.
Diamond na Wema wanatumiana kibiashara na wanajua kweli kucheza na akiri zenu wenye akili za udhabiki.
STAY WAITN KWA MOVIE YA KIHISTORIA FROM WEMA N DIAMOND
ila umechelewa kuzileta...hahaha bado km mbili hivi hapo hebu weka...
zile wakiwa bafuni na taulo.......hebu ngoja nizicheki