mnang'umba
JF-Expert Member
- Jun 26, 2015
- 471
- 150
Ha ha ha kama hakushika atakua ye ndo katunzi mwenyeweVipi ulimsaidia kushikilia?
Kama umezidownload waweza kuzidelete pia, au diamond na zari wamekurushia hizo picha?Sheria zipo wapi picha hz zakukaa nazo mwenyewe kwenye cm yako si kuiweka hadharani,jamaa sasa hv hana adabu kama kajiumba akae akijuwa mwenyenzi ni mkali
unaona za utupu mkuu wenzako wanazifurahia duu noma sana hii"mbona picha za utupu hizi, mod vipi?
Hizi picha zimewatoa povu pwanya road huko insta ha ha ha utadhani wao hawana matumbo
wabebe zao, wavae madera wafunge mikanda
mbona picha za utupu hizi, mod vipi?
mkuu kuna watu wanatetea huu upuuzi ushabiki kitu kibaya sanaSheria zipo wapi picha hz zakukaa nazo mwenyewe kwenye cm yako si kuiweka hadharani,jamaa sasa hv hana adabu kama kajiumba akae akijuwa mwenyenzi ni mkali
mkuu ww shule yako ni kiasi gani mbona inaonekana ni ndogo kushinda hata ya huyo anaekutia kichefuchefu maana unamwandama adi tunajiuliza amekufanya nn kibaya?
Kwa mara ya kwanza huu msemo nimeuona kwa zariHaaaaa halafu wanajifanya wako busy na mapokezi... yaani wanachekesha.
Unajua huo msemo wa kuvaa madera na kufunga mikanda umetokea wapi???
Mbembe mimba zenu mfiche, yake kaamua kuoneshamkuu kuna watu wanatetea huu upuuzi ushabiki kitu kibaya sana
niombe radhi Evelyn SaltMbembe mimba zenu mfiche, yake kaamua kuonesha
Toa uchuro wewe beba mimba na wewe uioneshe, pilipili ya shambaAcha Kujipa Tafsiri Za Kwako Ngedere We.Mimi Simuandami Ila Ninacomment Kwa Kumdefine Kulingana Na Matendo Yake.Akili Yake Ndogo Ndio Inayomtuma Kufanya Mambo Ya Kipumbavu Sio Mimi.Poor Suburb, Poor Education, Poor Up-Bringing, Poor-Parenting, Poor Family- Background Ndo Kumemfanya Awe Hivi Alivyo Leo.Bwe.Ge, Mshamba, Mburula, Limbukeni Wa Umaarufu, Mshirikina, Na Mambo Mengine Kibao.Artist Anaejitambua Ni Kioo Cha Jamii Lazima Awe Mfano Bora Kwa Jamii.Aige Mfano Wa Wasanii Wengine Wanaojitambua Na Wanaoheshimu Dhima Walionayo Katika Jamii.
niombe radhi Evelyn Salt
kwa nn ??Sikuombi ng'ooooo
acha wivu we mbwa mwitu siku zote b4 hajatusua hukuona hayo makitu unayomsahihisha au umeyaona siku hizi? Mbona maneno yako inaonekana ni wivu wa kike unaokusukuma?
Anahamu ya kupandwa huyo, aondoe udada hapaacha wivu we mbwa mwitu siku zote b4 hajatusua hukuona hayo makitu unayomsahihisha au umeyaona siku hizi? Mbona maneno yako inaonekana ni wivu wa kike unaokusukuma?