Diamond na Zari kwenye muonekano mwingine

Sheria zipo wapi picha hz zakukaa nazo mwenyewe kwenye cm yako si kuiweka hadharani,jamaa sasa hv hana adabu kama kajiumba akae akijuwa mwenyenzi ni mkali
 
Kama umezidownload waweza kuzidelete pia, au diamond na zari wamekurushia hizo picha?
 
Sheria zipo wapi picha hz zakukaa nazo mwenyewe kwenye cm yako si kuiweka hadharani,jamaa sasa hv hana adabu kama kajiumba akae akijuwa mwenyenzi ni mkali
mkuu kuna watu wanatetea huu upuuzi ushabiki kitu kibaya sana
 
mkuu ww shule yako ni kiasi gani mbona inaonekana ni ndogo kushinda hata ya huyo anaekutia kichefuchefu maana unamwandama adi tunajiuliza amekufanya nn kibaya?

Acha Kujipa Tafsiri Za Kwako Ngedere We.Mimi Simuandami Ila Ninacomment Kwa Kumdefine Kulingana Na Matendo Yake.Akili Yake Ndogo Ndio Inayomtuma Kufanya Mambo Ya Kipumbavu Sio Mimi.Poor Suburb, Poor Education, Poor Up-Bringing, Poor-Parenting, Poor Family- Background Ndo Kumemfanya Awe Hivi Alivyo Leo.Bwe.Ge, Mshamba, Mburula, Limbukeni Wa Umaarufu, Mshirikina, Na Mambo Mengine Kibao.Artist Anaejitambua Ni Kioo Cha Jamii Lazima Awe Mfano Bora Kwa Jamii.Aige Mfano Wa Wasanii Wengine Wanaojitambua Na Wanaoheshimu Dhima Walionayo Katika Jamii.
 
Haaaaa halafu wanajifanya wako busy na mapokezi... yaani wanachekesha.

Unajua huo msemo wa kuvaa madera na kufunga mikanda umetokea wapi???
Kwa mara ya kwanza huu msemo nimeuona kwa zari
yanii siku hizi nae ana uswahili flani hivi amazing ananifurahishaga
kuna ile day alikua anachamba kiswahili alivoanza na mnikome yani nlicheka
 
Huwa najiuliza tu watoto wa zari wanaonaga hizi picha?

Wanamuitaga Diamond baba au?

Anyway ni maswali tu
🎉maisha ya Movie nayo Tabu kweli kweli
 
Acha Kujipa Tafsiri Za Kwako Ngedere We.Mimi Simuandami Ila Ninacomment Kwa Kumdefine Kulingana Na Matendo Yake.Akili Yake Ndogo Ndio Inayomtuma Kufanya Mambo Ya Kipumbavu Sio Mimi.Poor Suburb, Poor Education, Poor Up-Bringing, Poor-Parenting, Poor Family- Background Ndo Kumemfanya Awe Hivi Alivyo Leo.Bwe.Ge, Mshamba, Mburula, Limbukeni Wa Umaarufu, Mshirikina, Na Mambo Mengine Kibao.Artist Anaejitambua Ni Kioo Cha Jamii Lazima Awe Mfano Bora Kwa Jamii.Aige Mfano Wa Wasanii Wengine Wanaojitambua Na Wanaoheshimu Dhima Walionayo Katika Jamii.
Toa uchuro wewe beba mimba na wewe uioneshe, pilipili ya shamba
 
acha wivu we mbwa mwitu siku zote b4 hajatusua hukuona hayo makitu unayomsahihisha au umeyaona siku hizi? Mbona maneno yako inaonekana ni wivu wa kike unaokusukuma?

Masaburi Yako!.Ina Maana Mpaka Leo Hujui Kama Domo Ni Limbukeni Wa Umaarufu.Sasa Ulitaka Aanze Vituko Kabla Hajawa Maarufu.? Kweli We Ngedere! Christina Unafurahisha Sana.
 
acha wivu we mbwa mwitu siku zote b4 hajatusua hukuona hayo makitu unayomsahihisha au umeyaona siku hizi? Mbona maneno yako inaonekana ni wivu wa kike unaokusukuma?
Anahamu ya kupandwa huyo, aondoe udada hapa
 
Back
Top Bottom