Diamond na Zari wakava jarida la Mamas and Papas la SA

Diamond na Zari wakava jarida la Mamas and Papas la SA

Daimondi angeoa kadada kadogo kwake kenye mtoto 1 tu halafu hakama mpunga wa kutosha angetukanwa sana, ila single mother mwenye hela hata awe monopoziii wabongo watamsifia balaaa
 
Ina maana huyo zari hivi sasa Ana mimba tena? Sijuzi tu hapa kafyatua album mpya?
hatari... hata mimi nimeshituka, coz juzi tuu tuliambiwa amepata mtoto wa kiume anaitwa chibu junior,, mwenye taarifa kamili atupatie..
 
hatari... hata mimi nimeshituka, coz juzi tuu tuliambiwa amepata mtoto wa kiume anaitwa chibu junior,, mwenye taarifa kamili atupatie..
hiyo picha nadhani ilipigwa kabla hajajifungua huyo mwanae
 
Daimondi angeoa kadada kadogo kwake kenye mtoto 1 tu halafu hakama mpunga wa kutosha angetukanwa sana, ila single mother mwenye hela hata awe monopoziii wabongo watamsifia balaaa
Hao ndio wabongoz
 
MTOTO : Eti baba mwanaume ni nani?

BABA : Mwanaume ni mtu anyejali familia yake,anahakikisha wanapata mahitaji ya msingi na anailinda vyema.

MTOTO : Nikiwa mkubwa nataka niwe mwanaume kama mama.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Ila Zari ndio mjanja...

Kumzalia Diamond watoto 2 ni wazi 80% ya mali za Diamond, Zari atazilimiliki....
 
Kuna kipi kipya hapo?Mbona hizo picha walishazipost Instagram kitambo hicho?

Wasingepost hizi picha hapo kabla wangeshtua sana.
 
Back
Top Bottom