ROBERT MICHAEL
JF-Expert Member
- Oct 23, 2012
- 5,054
- 2,858
Hivi hizo picha za kukojoa barabarani zimewekwa wapi na mie nikacheke aisee!
Kuna uzi upo humu humu jukwaani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi hizo picha za kukojoa barabarani zimewekwa wapi na mie nikacheke aisee!
ubuyu ndo nini jamani mi natoka Rwanda kwa akina kamanzimaDuuu hili neno Ubuyu inabidi Shigongo aanze kumlipa warumi!
Dai kaniangusha aiseeeee, picha za mahaba mbona sion naliona li imelda tu hapoo
Jana kadanganya watu eti Kikwete alimpigia simu baada ya oparesheni Marekani, Yani hili baba liongo kwelikweli.
Halafu huyu mdada Imelda mbea sana ni mnafikinafiki hivi ila wasanii hawamjui tu kuwa ni ndumilakuwili,namuonaona na Auntezekiel sasa hivi ushoga umenoga.
Halafu hili Li Imelda hua limbea km nini jisura lake ka kinyago cha mpapure na issue anazofuatiliaga hata haviendani nae,duh kwel mjini shule kila mtu anajua kutafuta namna ya kuishi
Na lile tumbo ka namuona vile....hili jitu zima kazi kushika mapembe maziwa wanakamua wenzie
Duuu hili neno Ubuyu inabidi Shigongo aanze kumlipa warumi!
Na lile tumbo ka namuona vile....
Hivi uliona picha za le boss muzee ya mabebs anakojoa kwenye mti? ha ha ha
Hahahaha Mwl niliziona uknw ni shida mzee lemtindiz ana moyo sana!
ha ha ha najuuta kutokuidownload hadi imetolewa yan leo nmecheka hadi bas huyu kijana le mutuz ni sheeda
View attachment 202304
Hii hapo
Halafu anajifanya eti yeye ndio alimsindikiza huyo Mama Airport.