Diamond na Zari wavuta hisia za watu uwanja wa ndege wa kimataifa Nyerere

Duuu hili neno Ubuyu inabidi Shigongo aanze kumlipa warumi!
 
Last edited by a moderator:
hili jitu zima kazi kushika mapembe maziwa wanakamua wenzie
 
Dai kaniangusha aiseeeee, picha za mahaba mbona sion naliona li imelda tu hapoo

Halafu huyu mdada Imelda mbea sana ni mnafikinafiki hivi ila wasanii hawamjui tu kuwa ni ndumilakuwili,namuonaona na Auntezekiel sasa hivi ushoga umenoga.
 
Jana kadanganya watu eti Kikwete alimpigia simu baada ya oparesheni Marekani, Yani hili baba liongo kwelikweli.

Mmmhh kama kweli vile,huyu le baharia akili yake haina akili.
 
Halafu huyu mdada Imelda mbea sana ni mnafikinafiki hivi ila wasanii hawamjui tu kuwa ni ndumilakuwili,namuonaona na Auntezekiel sasa hivi ushoga umenoga.

Ni shidaaaaaaa
 
Halafu hili Li Imelda hua limbea km nini jisura lake ka kinyago cha mpapure na issue anazofuatiliaga hata haviendani nae,duh kwel mjini shule kila mtu anajua kutafuta namna ya kuishi

Yaan halaf sura yake anafaa awe mlokole au mwimba kwayaaaa
 
ha ha ha najuuta kutokuidownload hadi imetolewa yan leo nmecheka hadi bas huyu kijana le mutuz ni sheeda

Hahhaha pengine nahisi wewe hukucheka yani Mimi hadi tumbo liliuma na nikasahau kuipakua...uknw mzee wa tamkoz alinaswa live wengine wakasema eti alikuwa anajichua hahahha
uknw supergardem mazafantaz wanafikiri wananikomoa kumbe wanapo niandika nazidi kupata hela uknw ...another day another dollar hahahaha I love it
 

Attachments

  • 1415986505847.jpg
    55.7 KB · Views: 448
Wambea wambea tu hata hizo picha zimepigwa kiwizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…