Ave Ave Maria
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 10,707
- 5,678
Mweeeh! Huyo ni le big show???View attachment 202304
Hii hapo
Hivi Zari ana Umri wa Miaka Mingapi??
v/s
Diamond ana Umri wa Miaka Mingapi??
Zari 38-40 Diamond 22-24.
Kwa kifupi ni mkubwa na mwanae, ni mtoto wa kumzaa kabisa.
Duh,
Kweli numeamini ile kitu haina umri, Huyu Kijana bado tu kuanza kulala na Bibi zake!!
Huyu mbaba muongo ndo maana haishi kuchambwa humu, nifah wapi wewe uone uongo le mbebezz anaekupenda mpaka anaumwa!