Diamond na Zari wawasili songea kutumbuiza sherehe za miaka 38 za CCM

Mkuu, leo weekend mkuu ndio maana tumepata muda wa kumuangalia diamond, na ni sherehe ya chama chetu pendwaa ingekuwa siku ya kazi tusingepoteza muda wa kumshangaa ,dah lakini Zari yuko vizuri aisee
 
Last edited by a moderator:
Mkuu, leo weekend mkuu ndio maana tumepata muda wa kumuangalia diamond, na ni sherehe ya chama chetu pendwaa ingekuwa siku ya kazi tusingepoteza muda wa kumshangaa ,dah lakini Zari yuko vizuri aisee
Hahahahaha... yaani kwa bahati, utetezi wote ulioutoa nilishautarajia in advance... kwamba leo ni weekend ndo maana ulienda, above all, kwamba ni shughuli ya chama chako!!! Sema mmeniboa pale mlipokatiza matangazo wakati mnyama anaanza kutumbuiza... nilitaka kuwaona wamatengo na wangoni wanavyogombania kumwangalia mkali Diamond ambae hadi Mwenyekiti wa Chama chako leo ametamka hadharani kwamba hakuna mwanamuziki bora kwa sasa zaidi yake!!!!!!

Hilo la Zari, tufanye kuliangalia tu... manake ukisikia Mungu kutufanyia makusudi wanaume ndo kule... anatuletea dhahama duniani halafu anatuambia "usizini" aaaaaaargh!!!
 
Zari mamaa kula maisha...... umemaliza kila kitu umeolewa, ukazaa 3 gorgeous boys, ume accumulate mali ya kutosha sasa kimebaki nini? Kula life mdada maisha umeyapatia!
 
una wivu wa kike
 
walishaachana na mume wake kitambo tu
 
Huyu dogo ni msanii anayejielewa kaenda kachukua million 50 na kalazimushwa kuvaa ccm kakataa na huyu dogo sio mwana siasa leo nimemkubali.hawezi tumiwa na ma ccm.dogo ukawa huyu wangekua kama Ali kiba njaa zingemvalisha ccm lakini dogo kapiga zaidi USA na UG.

SWSSIME
 
Wasanii mnatakiwa kuweka masilai na utu mbele sio kutumiwa kama KIBA NA MIZOGA mingine kuvalishwa manguo ya ccm.

Swissme
 
Pole sana kwa kujifariji swissme,,diamond ,kiba,ferouz,juma nature....hao wote ni ccm tena kwa kutamka kwa vinywa vyao,rejea ktk kampen za 2010 mkuu
 
Tunapenda kulaumu pale ccm wanapotumia wasanii ila nani katukatazaa upinzani kutumia wasanii kwenye mikutano yetu?mikutano yetu inajaa bila hata wasanii,ccm inalipa wasanii wapande jukwaani kuvuta watu kitu ambacho upinzani pia inaweza,..tusipende kulaumu sana
 
Pole sana kwa kujifariji swissme,,diamond ,kiba,ferouz,juma nature....hao wote ni ccm tena kwa kutamka kwa vinywa vyao,rejea ktk kampen za 2010 mkuu

pole wewe,diamond kagoma kuvaa lunyasi
 
kauli ya kipumbavu kabisa, unasifia shibe ya mafisadi wakati ndugu zako wanakufa kwa kukosa tiba
 
kauli ya kipumbavu kabisa, unasifia shibe ya mafisadi wakati ndugu zako wanakufa kwa kukosa tiba

Achana na mdugu zangu hiyo hapo ni mbinu ya ccm kuvuta watu wengi waje,
Hiyo ni mbinu CCM inatumia kusanya watu kwenye mikutano yao,msanii hapo yupo kibiashara tu,je upinzani umeshindwa kutumia wasanii kwenye mikutano?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…