Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Atapata kweli hotel ya hadhi yake hapo songea?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Atapata kweli hotel ya hadhi yake hapo songea?
Can't believe this, wallah dunia imejaa viroja hii!! Mkuu laki si pesa kaenda kumshangaa Diamond Platnumz na mchuchu wake, Allah Akbar, yaani ameshasahau kwamba aliwahi kusema hivi:Kisa cha kutuona wavivu na hatuna kazi, hiki hapa:
View attachment 223375View attachment 223375
Kumbe laki si pesa alikuwa anaona wivu kwa kuwa hakuwa na uwezo wa kuja Dar!!!!
Hivi wimbo Mmoja ulioimbwa na zari ni upi?
Hahahahaha... yaani kwa bahati, utetezi wote ulioutoa nilishautarajia in advance... kwamba leo ni weekend ndo maana ulienda, above all, kwamba ni shughuli ya chama chako!!! Sema mmeniboa pale mlipokatiza matangazo wakati mnyama anaanza kutumbuiza... nilitaka kuwaona wamatengo na wangoni wanavyogombania kumwangalia mkali Diamond ambae hadi Mwenyekiti wa Chama chako leo ametamka hadharani kwamba hakuna mwanamuziki bora kwa sasa zaidi yake!!!!!!Mkuu, leo weekend mkuu ndio maana tumepata muda wa kumuangalia diamond, na ni sherehe ya chama chetu pendwaa ingekuwa siku ya kazi tusingepoteza muda wa kumshangaa ,dah lakini Zari yuko vizuri aisee
Songea kuna kiwanja cha ndege? wonder
una wivu wa kikeHivi mama mtu mzima mwenye watoto watatu anaweza vaa namna hii kweli? tena mke wa mtu? nimeona mumewe Ivan akilalamika namna mkewe navyofanya ngono na huyo mtoto mshenzi wa kitanzania tena wametunga na wimbo nitauweka hapa muone mumewe anavyolalamika. hivi songea hakuna mashehe wakemee haya mambo?
Mahakama ya khadhi inaanza lini? huyu mama ni mke wa mtu na mama wa watoto watatu anatutembelea nusu uchi na kimada wake tena hadharani.
Hivi mama mtu mzima mwenye watoto watatu anaweza vaa namna hii kweli? tena mke wa mtu? nimeona mumewe Ivan akilalamika namna mkewe navyofanya ngono na huyo mtoto mshenzi wa kitanzania tena wametunga na wimbo nitauweka hapa muone mumewe anavyolalamika. hivi songea hakuna mashehe wakemee haya mambo?






Pole sana kwa kujifariji swissme,,diamond ,kiba,ferouz,juma nature....hao wote ni ccm tena kwa kutamka kwa vinywa vyao,rejea ktk kampen za 2010 mkuu
Tunapenda kulaumu pale ccm wanapotumia wasanii ila nani katukatazaa upinzani kutumia wasanii kwenye mikutano yetu?mikutano yetu inajaa bila hata wasanii,ccm inalipa wasanii wapande jukwaani kuvuta watu kitu ambacho upinzani pia inaweza,..tusipende kulaumu sana
kauli ya kipumbavu kabisa, unasifia shibe ya mafisadi wakati ndugu zako wanakufa kwa kukosa tiba