Lazima tujue kutofautisha kazi na siasaSasa nimeshajua ni kwa nini huyu dogo huwa anazomewa kwenye shoo zake. Huku kutumiwa kama mipira ya kiume kwa wasanii dhidi ya ccm ni fedhea sana.
Mbeya ndio alisema hakunaga sio hahahaDiamond ameshangaa alipogundua Songea kuna hoteli nzuri kupita Dar
Kweli hiyo ni Hotel kiwango sana hasa kwa ukanda wa nyanda za juu na kusini ...sikutegemea kama Songea kuna Hoteli nzuri namna ile.....sioni ajabu kama walifikia Heritage Cottage hawa mastaa kama wenzaoHeritage cottage
Heritage Cottage....hata mawaziri wenu na mastaa wengine wanafikiaga hapoSidhani kama atalala,atarudi leo leo.
dah kwenye picha mtandaoni kidogo ana nafuu lakini ukimsogelea karibu dah yaani MANGE hawezi kaa karibu hata kwa hatua mia kwa ZARI...ZARI ni kitu ingine!!!...mnamuonea bure Mange labda mumfananishe na yule mtoto wa Makamba aliyekuwaga Voda ndiyo wapo level moja na MangeMbona Mange anasema Zari mbaya yeye ndio mzuri?
Heritage Cottage....hata mawaziri wenu na mastaa wengine wanafikiaga hapo
dah kwenye picha mtandaoni kidogo ana nafuu lakini ukimsogelea karibu dah yaani MANGE hawezi kaa karibu hata kwa hatua mia kwa ZARI...ZARI ni kitu ingine!!!...mnamuonea bure Mange labda mumfananishe na yule mtoto wa Makamba aliyekuwaga Voda ndiyo wapo level moja na Mange
Diamond ameshangaa alipogundua Songea kuna hoteli nzuri kupita Dar
Yaani songea kuna 'hotel inzuri kupita dar"
Hivi mama mtu mzima mwenye watoto watatu anaweza vaa namna hii kweli? tena mke wa mtu? nimeona mumewe Ivan akilalamika namna mkewe navyofanya ngono na huyo mtoto mshenzi wa kitanzania tena wametunga na wimbo nitauweka hapa muone mumewe anavyolalamika. hivi songea hakuna mashehe wakemee haya mambo?
dah mtoto mkali asee
dadadadekiKaribuni sana kwenye jiji la kimataifa Songea. Jiji la watu wenye pesa na wajanja wa mjini, huku ni bata tu kuanzia januari mpaka december
wacha unaaHivi mama mtu mzima mwenye watoto watatu anaweza vaa namna hii kweli? tena mke wa mtu? nimeona mumewe Ivan akilalamika namna mkewe navyofanya ngono na huyo mtoto mshenzi wa kitanzania tena wametunga na wimbo nitauweka hapa muone mumewe anavyolalamika. hivi songea hakuna mashehe wakemee haya mambo?