Diamond na Zari wawasili songea kutumbuiza sherehe za miaka 38 za CCM

Diamond na Zari wawasili songea kutumbuiza sherehe za miaka 38 za CCM

Sasa nimeshajua ni kwa nini huyu dogo huwa anazomewa kwenye shoo zake. Huku kutumiwa kama mipira ya kiume kwa wasanii dhidi ya ccm ni fedhea sana.
Lazima tujue kutofautisha kazi na siasa
Marando alikua ni wakili wa watuhumiwa wa EPA, Diamond kalipwa kwenda kutumbuiza
 
Heritage cottage
Kweli hiyo ni Hotel kiwango sana hasa kwa ukanda wa nyanda za juu na kusini ...sikutegemea kama Songea kuna Hoteli nzuri namna ile.....sioni ajabu kama walifikia Heritage Cottage hawa mastaa kama wenzao
 
Mbona Mange anasema Zari mbaya yeye ndio mzuri?
dah kwenye picha mtandaoni kidogo ana nafuu lakini ukimsogelea karibu dah yaani MANGE hawezi kaa karibu hata kwa hatua mia kwa ZARI...ZARI ni kitu ingine!!!...mnamuonea bure Mange labda mumfananishe na yule mtoto wa Makamba aliyekuwaga Voda ndiyo wapo level moja na Mange
 
umeonaeee, yani huyu mange kwanza tabia za kishenzi za masumango na kuchamba, kwa kifupi hajitambuimtu mwenye akili na hekima hawezi kufanya kama anavyofanya mange, ana chuki za ajabu, nadhani badala ya kutumia muda mwingi kutukana watu kwa blog yake, angeutumia huo muda kuafanya kazi nae afanikiwe kama akina zari, anajiona mzuri yeyemwenye pesa yeye, kila kitu yeye i think ana kitu kinachomsumbua au kutojiamini flani kunamfanya anakua na such stupid behavior
 
Hivi mama mtu mzima mwenye watoto watatu anaweza vaa namna hii kweli? tena mke wa mtu? nimeona mumewe Ivan akilalamika namna mkewe navyofanya ngono na huyo mtoto mshenzi wa kitanzania tena wametunga na wimbo nitauweka hapa muone mumewe anavyolalamika. hivi songea hakuna mashehe wakemee haya mambo?

Teh Mi na beibe pia tuliwasili songea!
 
hii influence ambaYo diamond anaYo kwenYe maswala mengi Ya kitaifa aitumie vzur kaka angu
 
Hivi mama mtu mzima mwenye watoto watatu anaweza vaa namna hii kweli? tena mke wa mtu? nimeona mumewe Ivan akilalamika namna mkewe navyofanya ngono na huyo mtoto mshenzi wa kitanzania tena wametunga na wimbo nitauweka hapa muone mumewe anavyolalamika. hivi songea hakuna mashehe wakemee haya mambo?
wacha unaa
 
Back
Top Bottom