Diamond na Zuchu kila wanapotaka kutoa wimbo lazima WASEME WAMEACHANA

Muite

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2013
Posts
2,971
Reaction score
6,607
Naona ka Zuhura tayari kametangaza kuachana na Diamond.

Wasanii wa Bongo bhana
 
Nchi si ina wajinga wengi

Ova
 
Li kichwa likuuuubwa ka mwili kadogo 💔🚮
 
Tunawafanyaje Sasa???na Wao Wameamua Iwe Hivyo,,,Kama Una Lolote Wazo Lolote La Jinsi na Namna Gani Twaweza Zuia Hilo,,Usisite Tushirikisha Bwana Mdogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…