Diamond: Nadhani Wema Sepetu ameanza kunikubali kimya kimya

Diamond: Nadhani Wema Sepetu ameanza kunikubali kimya kimya

kama uliangalia kipindi cha weekend chat show ya clouds tv ijumaa soud alitoa udaku diamond kuna day kadondonsha kwa wema ununio kimya kimya mchizi anamega kisela(inasemekana lakini) ndo mana bila shaka madam kalegeza vita kwa chibu.teh teh teh punda uliezoea kumpanda kamwe hawezi kukudondosha.idrisa kazi anayo....
Aisee huu ubuyu wako nao uko hot.

Mbona haujavuja kwa media??
 
Hawana lolote wameshaanza wanataka kukushia mapenzi yao kwani mahawala huwa hawaachani siku wakijisikia na kila mmoja kamiss shoo ya mwenzie basis wanatafutana kimya kimya na wanamaliza kimyakimya!!
 
Back
Top Bottom