Anachokifanya Diamond na WASAFI TV kuwaunganisha wasanii wote Tanzania hasa wale ambao walikuwa wametengwa na Clouds na EATV....si kitu kidogo. Ni kitu kikubwa sanaa na cha kupongeza mnoo...
Pamoja sana Wasafi TV
Umekula maharage ya wapi mkuu[emoji13] [emoji13] Nyie haters Diamond asipowatekenya kwa headlines anazomake anafanya muwashwe mpaka mnakurupuka kumpambanisha na Mungu!!SERIOUSLY [emoji6] Mmeona Hamna wa kumfikia mnaanza kumpambanisha na Mungu[emoji1] Mungu ni Mungu jaman hawezi kupambanishwa na DiamondPOLE SANA MTOA MADA HIVI WEWE MUNGU WAKO DIAMOND. HIVI AKITAJWA DIAMOND NDIO IWEJE HUNA DINI . ANAETAJWA SANA NI MUNGU KUNA WATU ASUBUHI NA JIONI WANAMKUMBUKA MUNGU NA WANAMTAJA SIO DIAMOND. wewe ukiamka asubuhi badala ya kuleta nyimbo za ibada unaleta za diamond mchana kutwa diamond na siku ukizikwa na kufufuliwa jambo la kwanza utamuliiza mungu diamond yuko wapi
Habari kama hii Mawingu Media wanatamani waifute!African Beauty ndo habari ya mujini!!View attachment 734141
Kwa kizazi hiki ukubali ukatae, Diamond ndio anazungumziwa zaidi kuliko msanii yoyote hapa Tanzania kuanzia mitaani hadi mitandaoni
Imekuwa kawaida sana Diamond kushikilia trending tano za juu kwa sababu ukweli ni kwamba Diamond ndio anafatiliwa kuliko msanii yoyote hapa bongo, iwe anafatiliwa kwa nia nzuri au kwa nia mbaya hali inabaki pale pale, Diamond ndio habari ya mjini.
Kwa mfano kwa wiki hii Tanzania nzima huyu kijana ana video zake nne zinazoongozwa kutazamwa na taifa zima.
View attachment 734059