BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,790
- 288,165
Ukisika mtu kacheza kama Pele basi ni DP. Uamuzi wake wa kupiga nyimbo za Ali Kiba katumia busara na hekima kubwa sana. Hakuna sababu ya kuendeleza ligi isiyo na tija.
Anachokifanya Diamond na WASAFI TV kuwaunganisha wasanii wote Tanzania hasa wale ambao walikuwa wametengwa na Clouds na EATV....si kitu kidogo. Ni kitu kikubwa sanaa na cha kupongeza mnoo...
Pamoja sana Wasafi TV