Diamond ndiye msanii tajiri zaidi kwa sasa Africa Mashariki

Diamond ndiye msanii tajiri zaidi kwa sasa Africa Mashariki

Yote ntakubali lakini hapo kwenye million 350 kuvaa kwenye shooo hilo tango ndugu.
 
Hawezi kumzidi Jagua wa Kenya! kwa vyovyote vile!
 
Achen porojo wekeni source inachukua mda gan ku attach hio source yako mbona muhtasari mrefu umeuandika ulipata wap md wa kuandika
 
Mbona deile ni domo na kiba tu hivi hakuna waimba kwaya wengine
 
Wengine tunapochangia mada tunakuwa tunasema kwa kuangalia dunia kwa ujumla wake sio kusema kwa rejareja.
Ushauri wako mzuri ila mfano wako mbovu kwa wasanii wa hela za madafu.
Kabla hatujaenda huko unakukuita kwa ujumla,tuzungumzie rejareja kwanza..!
Je,kwa TZ msanii anayetengeneza pesa ndefu ni Christian Bella..!?
Bila shaka atakua ndiye,kwasababu yeye ndio anayepiga show nyingi kwa live band..!
Au sio bradha..?
 
jaguars-car2.jpg
 
Hawezi Kumfikia Jagua wa kenya!

Range Rover Sport, a BMW 5 series (5 million)

Bentley (Ksh15 million),

Toyota Lexus
(Ksh4 million)

black Mercedes
E240 (Ksh5 million)

and a

Jaguar (Ksh20-30 million)
 
1. “Jagz Cabs” and garage – Here Jaguar has invested in cabs and his garage is in Nairobi’s Industrial area where cars can get pimped out.

2. Matatus in various routes i Nairobi. They are managed b his sister.

3. Real estate – He owns a number of rental houses. He
once bought a house fro sh10
million in Karen.

4. He has been linked with
ownership of Response
Security Co Ltd.
 
Japo ni shabiki wa Diamond ila hii habari ya kutunga, Forbes haipo kabisa
 
1. “Jagz Cabs” and garage – Here Jaguar has invested in cabs and his garage is in Nairobi’s Industrial area where cars can get pimped out.

2. Matatus in various routes i Nairobi. They are managed b his sister.

3. Real estate – He owns a number of rental houses. He
once bought a house fro sh10
million in Karen.

4. He has been linked with
ownership of Response
Security Co Ltd.
mkuu ulivomkomalia jaguar! hajazungumzia magari tu na asset nyingine
 
Back
Top Bottom