Wewe unazo % ngapiWapi mtoa mada ameandika kwamba Diamond anamzidi Kinyonga kwa kumiliki magari ya Kifahari..!?
Au ndio kujitoa ufahamu tu ili uthibitishe ile tetesi ya kwamba wanaJamhuri tunatumia 1% ya ubongo wetu..!?
Kabla hatujaenda huko unakukuita kwa ujumla,tuzungumzie rejareja kwanza..!Wengine tunapochangia mada tunakuwa tunasema kwa kuangalia dunia kwa ujumla wake sio kusema kwa rejareja.
Ushauri wako mzuri ila mfano wako mbovu kwa wasanii wa hela za madafu.
1.5%Wewe unazo % ngapi
mkuu ulivomkomalia jaguar! hajazungumzia magari tu na asset nyingine1. “Jagz Cabs” and garage – Here Jaguar has invested in cabs and his garage is in Nairobi’s Industrial area where cars can get pimped out.
2. Matatus in various routes i Nairobi. They are managed b his sister.
3. Real estate – He owns a number of rental houses. He
once bought a house fro sh10
million in Karen.
4. He has been linked with
ownership of Response
Security Co Ltd.
mkuu tanzania mwimbaji ni umoja Diamond [HASHTAG]#SIMBA[/HASHTAG] anakubalika dunia nzimaMbona deile ni domo na kiba tu hivi hakuna waimba kwaya wengine
ha ha ha ha ha watu mna majibu sijapata kuonaHapo kwenye mil350 kuvaa tu ni kahawa hizo
ha ha labda anahangaika kugugo muda huuAchen porojo wekeni source inachukua mda gan ku attach hio source yako mbona muhtasari mrefu umeuandika ulipata wap md wa kuandika