Diamond ndiye msanii tajiri zaidi kwa sasa Africa Mashariki

 
Kuvaaa million 350?!! Hata jay z na p didy wenyewe hawavai hivyo huo ni uongo kabisa hata akili za kuambiwa changanya na zako Mungu amuongezee miaka1000 simba cogrts kwake
 
Unamjua akothee wewe? Na Forbes yako iyo?
 
Kwanza ata kwa mbesa na mali achana na kamilioni.... Boby wyne tuu hamfikii hata robo hili bandiko lako umeltoa TBC nn?
 
msanii wa show ya playback hawezi kupiga hela zaidi ya msanii anaepiga show live.
hivi kwanini mashabiki wa domo mnakuwa washamba kama domo.
Acha kuzingua bob,jamaa ana bendi kabisa.show ya zaire hukuona zile laivu bob.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…