Amalizane na konde boy kwanzaKwa vita anayopigwa mchizi, toka ameanza muziki mpaka leo hii basi ingekuwa msanii mwingine muda sana angeshapotea.
Nikikumbuka kipindi anaanza kulikuwa na Tanzanite alidai kaibiwa nyimbo ya Mbagala. Haikuishia hapo ikawa kila siku vita na wasanii tofauti, media influencer plus ma ex zake.
Kina Ruge, Joh makini, Alikiba, Mr blue Tundaman, Hamisa Mobetto, Clouds media, Mangekimambi, Harmonize etc etc wote hawa wamekuwa maadui wa Harmonize kwa nyakati tofauti tofauti. Lakini mwamba bado kisiki cha mpingo na bado haoneshi dalili ya kupotea kimuziki. Tumpe hongera zake mpaka hapa alipofikia.
Tukilewa tuanzishe mada kule kwenye thread ya waleviKina Ruge, Joh makini, Alikiba, Mr blue Tundaman, Hamisa Mobetto, Clouds media, Mangekimambi, Harmonize etc etc wote hawa wamekuwa maadui wa Harmonize kwa nyakati tofauti tofauti. Lakini mwamba bado kisiki cha mpingo na bado haoneshi dalili ya kupotea kimuziki. Tumpe hongera zake mpaka hapa alipofikia.
Kwa vita anayopigwa mchizi, toka ameanza muziki mpaka leo hii basi ingekuwa msanii mwingine muda sana angeshapotea.
Nikikumbuka kipindi anaanza kulikuwa na Tanzanite alidai kaibiwa nyimbo ya Mbagala. Haikuishia hapo ikawa kila siku vita na wasanii tofauti, media influencer plus ma ex zake.
Kina Ruge, Joh makini, Alikiba, Mr blue Tundaman, Hamisa Mobetto, Clouds media, Mangekimambi, Harmonize etc etc wote hawa wamekuwa maadui wa Harmonize kwa nyakati tofauti tofauti. Lakini mwamba bado kisiki cha mpingo na bado haoneshi dalili ya kupotea kimuziki. Tumpe hongera zake mpaka hapa alipofikia.
Ni game changer kutoka mziki sifa kuwa mziki pesaDiamond platinumz ndio nembo ya bongo Flava...
Aisee inq maana sinza pazuri yanaweza kumkuta hayo [emoji1]Ndo maana machawa wengi mnapigwa pu....bu , kusifia wanaume kila siku sketi mtaziona saa ngapi
Sent using Jamii Forums mobile app
Mnafikiri kina Mr. nice, Prof Jay, Wagosi, Gangwe, Ferooz etc waliimba muziki sifa?Ni game changer kutoka mziki sifa kuwa mziki pesa
Kwa vita anayopigwa mchizi, toka ameanza muziki mpaka leo hii basi ingekuwa msanii mwingine muda sana angeshapotea.
Nikikumbuka kipindi anaanza kulikuwa na Tanzanite alidai kaibiwa nyimbo ya Mbagala. Haikuishia hapo ikawa kila siku vita na wasanii tofauti, media influencer plus ma ex zake.
Kina Ruge, Joh makini, Alikiba, Mr blue Tundaman, Hamisa Mobetto, Clouds media, Mangekimambi, Harmonize etc etc wote hawa wamekuwa maadui wa Harmonize kwa nyakati tofauti tofauti. Lakini mwamba bado kisiki cha mpingo na bado haoneshi dalili ya kupotea kimuziki. Tumpe hongera zake mpaka hapa alipofikia.
We unaona ni mzima huyo? Yeye na Mtanashati hawana marinda haoAisee inq maana sinza pazuri yanaweza kumkuta hayo [emoji1]
Ova
NAONA UMEWAZA KWA UPEO WAKO.Kwa vita anayopigwa mchizi, toka ameanza muziki mpaka leo hii basi ingekuwa msanii mwingine muda sana angeshapotea.