warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,218
- 18,440
Inasemekana kitendo cha Diamond kurudiana na Wema Sepetu, kimechangia kwa kiasi kikubwa urafiki wa wema na ex best friend wake Kajala kuota mbawa, inasemekana toka madame arudiane na Chibu wamekuwa wakigandana kama ruba hali iliyosababisha mnyange hyo kutokupata mda wa kujirusha na shosti wake kama ilivyokuwa awali. Mbaya zaidi kuna siku Kajala alimfuata shost wake huyo nyumbani kwake ili wakale bata , Wema aliwatuma wafanyakazi wake wakamwambie Kajala kuwa wamelala na baby wake hvyo hawezi kutoka kwani wakilala hatakiwi mtu yeyote kuwa distrub, kitendo hicho kilimuuma Kajala ikizingatia yeye ndo alikuwa my number wani wa Wema Sepetu yani ilikuwa no Wema without Kajala.
Kitendo cha Wema kumrudia ndomo kimeathiri hadi wafanyakazi wa kampuni aliyokuwa akimilik Wema kwani jamaa alichukua kila kitu chake na kumbakisha Wema patupu, hivyo kusababisha kibarua cha vijana hao kuota mbawa, Wengi wamelaumu Diamond kurudiana na Dangote kwani apo awali ex shemeji yao big boss wa ikulu Clement alikuwa akimwaga mpunga wa nguvu hivyo kufanya wafanyakaz wa kampuni yake kuishi kama wapo Hollywood, kitendo ambacho wamesema Diamond hana ubavu wa kukifanya hadi waingie kaburini, japokuwa apo awali ndomo aliahidi kumnunulia Wema vifaa vipya toka China tena baada ya wiki ila hadi Leo hatujasikia wala kuona chochote kama alivyoahidi.
Ivi sasa Wema amewapumzisha kazi wafanyakazi wake kwa kuwa hakuna chochote kinachoendelea kwenye kampuni na kuwaaidi kuwarudisha soon endapo mambo yataenda sawa. Wafanyakazi wamesema hawategemei madame kurudi tena kama enzi zake na Clement kwani alikuwa anamwaga pesa kama anavyomwaga mchele kwa kuku.