Mkuu umesikika vyema kabisaNi aibu kwa mwanamuziki mkubwa kama Diamond kukosa website,zaman alikuwa na blog lakini nayo kww sasa imekufa,
Inabidi atengeneze website nzuri iwe yake binafsi ama hata ya wcbwasafi,ambapo humo tunakuta habari rasmi,video,nyimbo na galley ya picha.
Ni aibu eti ukitaka fanya booking watuma kwa email yenye domain ya gmail??? Jitengeneze uwe brand ushakuwa wa kimataifa. Kupitia website yako ama ya wcb utaongeza mapato kupitia matango
WCB waja na website yao itakayouza kazi zao.Ni aibu kwa mwanamuziki mkubwa kama Diamond kukosa website,zaman alikuwa na blog lakini nayo kww sasa imekufa,
Inabidi atengeneze website nzuri iwe yake binafsi ama hata ya wcbwasafi,ambapo humo tunakuta habari rasmi,video,nyimbo na galley ya picha.
Ni aibu eti ukitaka fanya booking watuma kwa email yenye domain ya gmail??? Jitengeneze uwe brand ushakuwa wa kimataifa. Kupitia website yako ama ya wcb utaongeza mapato kupitia matango
Diamond ana pitiaga sana humu j.f umeckika na washalifanyia kaziNi aibu kwa mwanamuziki mkubwa kama Diamond kukosa website,zaman alikuwa na blog lakini nayo kww sasa imekufa,