Diamond ni aibu kutokuwa na website mpaka sasa

Ni aibu kwa mwanamuziki mkubwa kama Diamond kukosa website,zaman alikuwa na blog lakini nayo kww sasa imekufa,
Inabidi atengeneze website nzuri iwe yake binafsi ama hata ya wcbwasafi,ambapo humo tunakuta habari rasmi,video,nyimbo na galley ya picha.
Ni aibu eti ukitaka fanya booking watuma kwa email yenye domain ya gmail??? Jitengeneze uwe brand ushakuwa wa kimataifa. Kupitia website yako ama ya wcb utaongeza mapato kupitia matango
Mkuu umesikika vyema kabisa
 
WCB waja na website yao itakayouza kazi zao.
Wamesikiliza kilio chako
 
we upo dunia ya ngap wasafi wana website yao ambayo pia wanauza nyimbo zao
 
Ni aibu kwa mwanamuziki mkubwa kama Diamond kukosa website,zaman alikuwa na blog lakini nayo kww sasa imekufa,
Inabidi atengeneze website nzuri iwe yake binafsi ama hata ya wcbwasafi,ambapo humo tunakuta habari rasmi,video,nyimbo na galley ya picha.
Ni aibu eti ukitaka fanya booking watuma kwa email yenye domain ya gmail??? Jitengeneze uwe brand ushakuwa wa kimataifa. Kupitia website yako ama ya wcb utaongeza mapato kupitia matango
Diamond ana pitiaga sana humu j.f umeckika na washalifanyia kazi
 
Back
Top Bottom