Diamond ni limbukeni wa mafanikio

Diamond ni limbukeni wa mafanikio

isho_boy

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2015
Posts
2,145
Reaction score
1,892
Jaman wana jf mm naona hii system ya mtu kupata tunzo afu anaalika watu kuja kumpokea mm nahisi ni kama ushamba na ulimbukeni wa mafanikio coz sioni sababu ya kualika watu kuja kkupokea ety kisa umepata tunzo mbona kuna watu kibao tu kama kina jidee washapataga mitunzo kibao but haya mambo walikiwa hawana.....mm naona domo ni mshamba sana na mpenda drama za kike....inanikera sana hiyo Tabia cjui wenzangu mnaichukuliaje....?
 
Je wewe ulialikwa? Kama ulialikwa na hukwenda sioni kama unasababu ya kuchukia wengine wakienda. Mi huwa naona fans wanahamasishana kwenda kupokea tuzo zao. Ukiona wameenda ujue ni kwa mapenzi yao wenyewe kwani sikuona polisi wala mitutu ya bunduki ili uniaminishe kuwa ilikuwa lazima kwenda.
Maisha yanahitaji uvumilivu sana hasa kwa vitu usivyovipenda/usivyovifurahia as long as haviathiri personal &national interests. Otherwise pressure na vidonda vya tumbo ni halali yako.
 
Kwa sababu wewe wa kike ndio unafikiria super star wa nchi yetu nae wa kike....

Tafuta njia ujijenge uendelee acha wivu
 
Ushaona jamaa mshamba sana yaan utafikiri ndo la kwanza kupata tunzo linakera balaaaaaaaaaaaaaaaa

Naona siku akipata tuzo ya oscar ataalika dunia nzima impokee airport ahahhah ushamba mzigo
 
Jaman wana jf mm naona hii system ya mtu kupata tunzo afu anaalika watu kuja kumpokea mm nahisi ni kama ushamba na ulimbukeni wa mafanikio coz sioni sababu ya kualika watu kuja kkupokea ety kisa umepata tunzo mbona kuna watu kibao tu kama kina jidee washapataga mitunzo kibao but haya mambo walikiwa hawana.....mm naona domo ni mshamba sana na mpenda drama za kike....inanikera sana hiyo Tabia cjui wenzangu mnaichukuliaje....?
tumeichukulia kama wewe ulivyoichukulia aiseee.
 
Mzee wa essay ushaanza kazi kuharibu thread za watu tu
 
Back
Top Bottom