Pumba hizo
Inakuumiza?
Hainiumizi but inanikera sana
Mtu akifanikiwa eti limbukeni why?[/QUt
Tuache uongo jamaa unapenda sana sifA za kijinga
Kura zetu ndio zimempa tuzo, tuna kila sababu ya kufurahi nae pamoja kwa namna yoyote inayoonekana inafaa
We jamaa vp? Wenyewe walioenda hawajalalamika unakuja kulalamika wewe!! Kama unadhani ukisema njoo mnipokee tu watu ndo watakuja kukupokea; jaribu wewe uwaambie angalau wa watu wa kijijini kwenu kwamba unaenda waje kukupkea kama hujakuta shangazi yako peke yake!Eleweka pumba kivipi cjakuelew
Ushamba unamsumbua mbwa huyo
Ushaona jamaa mshamba sana yaan utafikiri ndo la kwanza kupata tunzo linakera balaaaaaaaaaaaaaaaa
tumeichukulia kama wewe ulivyoichukulia aiseee.Jaman wana jf mm naona hii system ya mtu kupata tunzo afu anaalika watu kuja kumpokea mm nahisi ni kama ushamba na ulimbukeni wa mafanikio coz sioni sababu ya kualika watu kuja kkupokea ety kisa umepata tunzo mbona kuna watu kibao tu kama kina jidee washapataga mitunzo kibao but haya mambo walikiwa hawana.....mm naona domo ni mshamba sana na mpenda drama za kike....inanikera sana hiyo Tabia cjui wenzangu mnaichukuliaje....?