Ngoja nikuulize,
Hukualikwa. Hukwenda. Hapo kinachokukera nini?
Au zile picha zinaozoonyesha watu wakimshangilia barabarani? Kaka jipunguzie magonjwa ya moyo mu unfollow prezidaa na page zote za wasafi...otherwise maumivu yakizidi pata ushauri wa daktari